Mzee MJ Member Joined Nov 10, 2016 Posts 89 Reaction score 50 Dec 8, 2016 #61 Acha maneno weka mziki.
Josaje Mtui JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 2,461 Reaction score 2,158 Dec 8, 2016 #62 Mwambie na yeye anywe pombe alafu akutekenye kwenye mfereji wa tako alafu utuletee mrejesho.
Mayonene JF-Expert Member Joined Mar 16, 2016 Posts 1,595 Reaction score 1,419 Dec 8, 2016 #63 Nitumie namba yake
mwalukuni mchanyato JF-Expert Member Joined May 15, 2013 Posts 404 Reaction score 230 Dec 8, 2016 #64 Ukifika karibu naye,anza kujitekenya kisha jichekeshechekeshe.Baada ya hapo fasta mwambie rafiki yangu pombe nimemuacha kilabuni hivyo mchezo wetu hatutocheza kabisa.
Ukifika karibu naye,anza kujitekenya kisha jichekeshechekeshe.Baada ya hapo fasta mwambie rafiki yangu pombe nimemuacha kilabuni hivyo mchezo wetu hatutocheza kabisa.
ndanda masasi JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 772 Reaction score 1,177 Dec 8, 2016 #65 Atakuwa anaishi dar huyu.
TEAM VIBAJAJI JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 1,858 Reaction score 2,298 Dec 10, 2016 #66 Mkuu kumtekenya sio lazima uwe umelewa weendelea kumtekenya usimnyime raha mwana wa mwenzio
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,342 Reaction score 88,625 Dec 10, 2016 #67 Hata mimi ningekua huyo dada ningekununia sababu mitekenyo ya wakurya naijua. Umemkosesha utamu dada wa watu halafu unategemea akuchekee. Haipo
Hata mimi ningekua huyo dada ningekununia sababu mitekenyo ya wakurya naijua. Umemkosesha utamu dada wa watu halafu unategemea akuchekee. Haipo
Okol36 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 1,544 Reaction score 738 Dec 13, 2016 #68 Haka kamchezo hakahitaji hasira