Mpangaji mwenzangu ameninunia kisa siku hizi nimeacha kumtekenya

Mpangaji mwenzangu ameninunia kisa siku hizi nimeacha kumtekenya

Mwambie na yeye anywe pombe alafu akutekenye kwenye mfereji wa tako alafu utuletee mrejesho.
 
Ukifika karibu naye,anza kujitekenya kisha jichekeshechekeshe.Baada ya hapo fasta mwambie rafiki yangu pombe nimemuacha kilabuni hivyo mchezo wetu hatutocheza kabisa.
 
Mkuu kumtekenya sio lazima uwe umelewa weendelea kumtekenya usimnyime raha mwana wa mwenzio
 
Hata mimi ningekua huyo dada ningekununia sababu mitekenyo ya wakurya naijua. Umemkosesha utamu dada wa watu halafu unategemea akuchekee. Haipo
 
Back
Top Bottom