Mpangaji mwenzangu anamnyemelea mke wangu

Hauna nguvu ukamshenyeta na Didy Oil ataacha moja kwa moja ikiwezekana atahama Mijadala Migumu
 
Jamaa kakudharau sana Mzee
 
Kama siku zote hizo zaidi ya miezi miwili mkeo anatongozwa na hajawahi kukuambia shtuka alikua anaelekea kibla huyo huna mke hapo
 
Kwa kawaida ilikuwa u deal na anayekuhusu yaani wife wako, anyway naomba namba yake nimuonye hiyo tabia siyo nzuri!!
 
Tupe mrejesho mkuu.Ulifuata ushauri wa watu wa mtandaoni(mwisho wa siku ndiyo wale wale wa mtaani) au ulichukua maamuzi yako tu?
 
Ulikosea sana ulipaswa kumpigia hapo hapo akipokea wewe msalimie tu na mwambie mwenye simu akija atakujibu

Kama hajatafuta nyumba nyingine 🤣🤣
 
Hii kesi ndogo sana hii kesi mke wa jamaa anaimaliza kabisa yeye anafanya mzaha we kula mzigo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…