The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
maCCM ni majinga sanaYa Mungu ni mengi
Ya mwanaume ni Mapyumbu
Ya kuku ni mayai.
Ndo hivyo tu mkuu
We acha tu huyo mtu ana kisasi na kanisa na anatumika na ccmKwahiyo baada ya kulibananga kanisa ndio ameenda kupewa bahasha Kwa malipo ya yuda iskariote? Maiti yake itasaliwa na mbweha.
Ukiwa ccm automatically akili inakuhama upende usipende.maCCM ni majinga sana
Rais wa mawe anaamini akiihijumu TEC KKKTwatapanda chat!Anatumia rasilimali za nchi kutaka kuvuruga kanisa katoliki. Lakini kwa vile limejengwa katika misingi imara atafeli tuu, ndipo atahamishia kwa wasema ukweli wengine.
Tujihadhari naye na kuchimba historia yake.
View attachment 3522973
Miaka isiyopungua 10 iliyopita, Mwigulu aliwahi kumtumia kuivuruga CHADEMA bila mafanikio.Rais wa mawe anaamini akiihijumu TEC KKKTwatapanda chat!
Mwigulu Nchemba alimtumia Ludovick kumtengenezea Wilfred Lwakatare kesi ya mchongo ya Ugaidi sasa anamtumia mtu huyohuyo kuanzisha vita na Kanisa Katoliki. Samia baada ya kushindwa kuwatumia Waislamu wenzake uchwara kulipiga vita Kanisa Katoliki sasa ameamua kuwatumia Wakristo uchwara kufanya kazi hiyo na aliyepewa jukumu hilo ni huyu mjivuni Mwigulu Nchemba.Anatumia rasilimali za nchi kutaka kuvuruga kanisa katoliki. Lakini kwa vile limejengwa katika misingi imara atafeli tuu, ndipo atahamishia kwa wasema ukweli wengine.
Tujihadhari naye na kuchimba historia yake.
View attachment 3522973
Halafu juma pili ataenda kanisani na kujifanya mwema, ila akae akijua shetani hana rafiki wa kudumuAnatumia rasilimali za nchi kutaka kuvuruga kanisa katoliki. Lakini kwa vile limejengwa katika misingi imara atafeli tuu, ndipo atahamishia kwa wasema ukweli wengine.
Tujihadhari naye na kuchimba historia yake.
View attachment 3522973