Tundu Lissu alishamuengelea huyu Kinyonga!GT
Kwa ufupi sana
1. Ni kweli ludovick ni mkatoliki lakini ni msaliti kama yuda
2.Alisoma mpaka ngazi ya frateri ambayo ni ngazi ya juu kabisa kuelekea upadri.
3. Alifukuzwa na kushindwa kupata daraja takatifu la upadre.
4 Ludovick ana kisasi na kanisa kisa kufukuzwa kwa utovu wa nidhamu seminarini.
5. Kasoma na watu wengi wanaomjua.ni kanjanja toka akiwa seminarini.
6. Alishawahi kuwa CHADEMA baadae akafungwa kwa makosa kadhaa sasa haijulikani ana kazi gani.
7. Press yake inaonekana kuandakiwa na mamlaka..
8. Ludovick anaonekana hana kazi ya maana anatangatanga tu huku na kule kupata chochote kitu
Watz Taifa limefika hatua mbaya sana haiajawahi kutokeankatika historia ya Tanzania.
View attachment 3522958
Akiwa na Habib Mchange na Zito Kabwe.Miaka isiyopungua 10 iliyopita, Mwigulu aliwahi kumtumia kuivuruga CHADEMA bila mafanikio.
Mamaeeeeh wallah...
Ni aibu kuwa na PM kama huyuWala hata siyo mhuni ni mpumbavu tu
Ni aibu Samia kutuletea mpuuzi kama huyu kuwa PMGT
Kwa ufupi sana
1. Ni kweli ludovick ni mkatoliki lakini ni msaliti kama yuda
2.Alisoma mpaka ngazi ya frateri ambayo ni ngazi ya juu kabisa kuelekea upadri.
3. Alifukuzwa na kushindwa kupata daraja takatifu la upadre.
4 Ludovick ana kisasi na kanisa kisa kufukuzwa kwa utovu wa nidhamu seminarini.
5. Kasoma na watu wengi wanaomjua.ni kanjanja toka akiwa seminarini.
6. Alishawahi kuwa CHADEMA baadae akafungwa kwa makosa kadhaa sasa haijulikani ana kazi gani.
7. Press yake inaonekana kuandakiwa na mamlaka..
8. Ludovick anaonekana hana kazi ya maana anatangatanga tu huku na kule kupata chochote kitu
Watz Taifa limefika hatua mbaya sana haiajawahi kutokeankatika historia ya Tanzania.
View attachment 3522958
Hivi hata kujua kuwa TEC wanataka kuvuruga amani ya nchi yetu kunahitaji uwe na degree?GT
Kwa ufupi sana
1. Ni kweli ludovick ni mkatoliki lakini ni msaliti kama yuda
2.Alisoma mpaka ngazi ya frateri ambayo ni ngazi ya juu kabisa kuelekea upadri.
3. Alifukuzwa na kushindwa kupata daraja takatifu la upadre.
4 Ludovick ana kisasi na kanisa kisa kufukuzwa kwa utovu wa nidhamu seminarini.
5. Kasoma na watu wengi wanaomjua.ni kanjanja toka akiwa seminarini.
6. Alishawahi kuwa CHADEMA baadae akafungwa kwa makosa kadhaa sasa haijulikani ana kazi gani.
7. Press yake inaonekana kuandakiwa na mamlaka..
8. Ludovick anaonekana hana kazi ya maana anatangatanga tu huku na kule kupata chochote kitu
Watz Taifa limefika hatua mbaya sana haiajawahi kutokeankatika historia ya Tanzania.
View attachment 3522958
Nafurahi kwamba unalitambua hilo.Mwigulu Nchemba alimtumia Ludovick kumtengenezea Wilfred Lwakatare kesi ya mchongo ya Ugaidi sasa anamtumia mtu huyohuyo kuanzisha vita na Kanisa Katoliki. Samia baada ya kushindwa kuwatumia Waislamu wenzake uchwara kulipiga vita Kanisa Katoliki sasa ameamua kuwatumia Wakristo uchwara kufanya kazi hiyo na aliyepewa jukumu hilo ni huyu mjivuni Mwigulu Nchemba.
Umesoma.CUBA ya MbagalaHivi hata kujua kuwa TEC wanataka kuvuruga amani ya nchi yetu kunahitaji uwe na degree?
Na inawezekana TEC ya Tanzania ndio chanzo Cha uvunjivu wa amani katika nchi za jirani pia
Dk Slaa alisema yeye alipokuwa TEC alikataa siraha zisiingie nchini maana yake ni kwamba waliyokuwepo kabla yake walikuwa wanaingiza siraha hizo siraha zilikuwa wanazipeleka wapi kama sio Kwa M23
Na ndio maana Kitime kuhusu bandali ameumia sana maana anajua hizo biashara zao za magendo hazitakuwepo tena
Yani wewe peke yako ndio umebakia kuwa mjinga ila tuliyosoma Cuba TEC tumeshachoshwa na tabia zao na tukiwachekea watatuletea vita maana ndio tabia
Tafuta Crip ya Dk Slaa anasema TEC wanatabia ya kuingiza siraha nchini
Hizo siraha wanazipeleka wapi kama TEC sio magaidi