Suzie
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 1,267
- 421
Nimejaribu kuwaza namna na mpangilio wa Makazi haswa kwa uzoefu wangu kuishi Jiji la Dar. Inakuwaje huwezi kuona hili ni eneo flani wanaishi matajiri na halipaswi kuwa na viklabu uchwara au maduka ya Mangi kama Masaki. Nashangaa Masaki pia kuna wauza njegere na wanunua vyuma chakavu kibao.
Kali zaidi kuna watoto wanaosoma Tandale primary school na kali ya zote daladala za Gongolamboto na Ubungo zinjaza. Labda tueleweshane nini kifanyike ili tuangalie hata pato la nchi litokee kwa hao wakazi wa Masaki.
Oystebay sijapataja sababu wale ni wahuni walijigawia nyumba zetu na sasa wengi wamestaafu hawajiwezi wanaishi kwa Historia tu