Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Hata kama mkuu huo mpangilio haupo peponi ni hapa hapa dunianiWewe wote tunasuuza macho tu hapa
Kupanga nyumba ni saana.
Kuna kitu huwa nakiona tofauti nyumba za wenzetu na za kwetu zina itofauti.
Wao wanapenda rangi rangi saana- Nikira ni nzuri hata kama nyumba ya kawaida.
Ni kweli kupanga nyumba ni sanaa, mfano kwa wenzetu kuna organizers kabisa wanakupangia na mshiko una walipa, hadi kuorganize fridge, pantry etc, kipi kikae wapi na kwanini.
Interior designers and interior decorators?
Ukienda google designs zipo nyingi tu. Sasa itategemea fundi juma wako utakaenda mpa maelekezo.Hivi hakuna makabati ya viatu yawe na draw Sky? Raha ya nyumba usione chochote hadi uwe unakitumia tu.
Hizi nyumba za kisasa hazitufai wachunga n'gombe ukikanyaga cow dung tayari umeiharibu.
Ndiyo mkuu upo sahihi kuna huyu mdada nilikuwa namfuatilia mtandaoni...Ni kweli kupanga nyumba ni sanaa, mfano kwa wenzetu kuna organizers kabisa wanakupangia na mshiko una walipa, hadi kuorganize fridge, pantry etc, kipi kikae wapi na kwanini.
Oouh...sawa sawa.Ukienda google designs zipo nyingi tu. Sasa itategemea fundi juma wako utakaenda mpa maelekezo.
Kwa nyumba/chumba finyu!Hivi hakuna makabati ya viatu yawe na draw Sky? Raha ya nyumba usione chochote hadi uwe unakitumia tu.
Hizi nyumba za kisasa hazitufai wachunga n'gombe ukikanyaga cow dung tayari umeiharibu.
Yes Baba kisura... kwa upana wake ni interior designers, decorators. Lakini kuna ambao wanaorganize tu.
Ongeza na yebo yebo
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah watu mnaishi jamani naangalia kwangu hapa hiyo nafasi ni madumu ya maji na jaba ndo yamepangwa uzuuri kabisaa.