Mpangilio wa viatu ndani ya nyumba

Mpangilio wa viatu ndani ya nyumba

Kupanga nyumba ni saana.

Kuna kitu huwa nakiona tofauti nyumba za wenzetu na za kwetu zina itofauti.

Wao wanapenda rangi rangi saana- Nikira ni nzuri hata kama nyumba ya kawaida.

Ni kweli kupanga nyumba ni sanaa, mfano kwa wenzetu kuna organizers kabisa wanakupangia na mshiko una walipa, hadi kuorganize fridge, pantry etc, kipi kikae wapi na kwanini.
 
Hivi hakuna makabati ya viatu yawe na draw Sky? Raha ya nyumba usione chochote hadi uwe unakitumia tu.

Hizi nyumba za kisasa hazitufai wachunga n'gombe ukikanyaga cow dung tayari umeiharibu.
Ukienda google designs zipo nyingi tu. Sasa itategemea fundi juma wako utakaenda mpa maelekezo.
 
Ukienda google designs zipo nyingi tu. Sasa itategemea fundi juma wako utakaenda mpa maelekezo.
Oouh...sawa sawa.

Upangaji wa viatu mara zote nimeona vinaachwa wazi nikajua kuna sababu...labda hewa...
 
Hivi hakuna makabati ya viatu yawe na draw Sky? Raha ya nyumba usione chochote hadi uwe unakitumia tu.

Hizi nyumba za kisasa hazitufai wachunga n'gombe ukikanyaga cow dung tayari umeiharibu.
Kwa nyumba/chumba finyu!
255755934080_status_ed1cd411c8b64c7998068a954624f7fb.jpeg
 
Yes Baba kisura... kwa upana wake ni interior designers, decorators. Lakini kuna ambao wanaorganize tu.

My food pantry.

Vipi hapo, iko poa au inahitaji msaada wa organizer?

992B9BB3-725F-49D6-8969-6C4053D4708E.jpeg
 
Attachments

  • 992B9BB3-725F-49D6-8969-6C4053D4708E.jpeg
    992B9BB3-725F-49D6-8969-6C4053D4708E.jpeg
    252.6 KB · Views: 29
  • 992B9BB3-725F-49D6-8969-6C4053D4708E.jpeg
    992B9BB3-725F-49D6-8969-6C4053D4708E.jpeg
    252.6 KB · Views: 27
My food pantry.

Vipi hapo, iko poa au inahitaji msaada wa organizer?

View attachment 1191662
My food pantry.

Vipi hapo, iko poa au inahitaji msaada wa organizer?

View attachment 1191662
My food pantry.

Vipi hapo, iko poa au inahitaji msaada wa organizer?

View attachment 1191662

Kazi nzuri sana NN. Hata hauhitaji organizer unaweza kuimprove kwa kuangalia tutorials. Mi napenda tu haya mambo na kuyafuatilia, ila bado naota kumiliki pantry kama hii 😀😀
 
Back
Top Bottom