Tetesi: Mpango mchafu wa Mange Kimambi na Freeman Mbowe wavuja

Mtanzania aliye Marekani mwenye maono kama haya basi atakuwa alienda huko kwa matibabu ya akili.

Labda useme upo China au North Korea.
 
Umesema ukweli mtupu, hata hivyo maandamano hakuna na serikali imeshachukua hatua kudhibiti Hali yoyote inayoweza kuharibu amani yetu tuliokuwa nayo kwa miaka mingi..

Bora uwe masikini lakini uwe na amani kuliko Kuwa tajiri ukawa hauna amani,..

Na amani ikitoweka kurudi ni kazi sana hakuna atakae Kuwa na imani miongoni mwao ambao sasa wana onekana Kuwa pamoja.

Hebu fikiria Libya ilivyokuwa wakati ule na baada ya machafuko..

Vijana Tuache mteremko, mteremko ndio unaosababisha ujinga, ndio maana humu watu walishauriwa kuanza biashara ya kudownload pesa lakini angalia sasa kila mtu anamlaumu yule alie shauri wakati ule ukitoa neno unatukanwa..

Ndivyo ilivyo sehemu nyingi duniani, sasa wananchi tubadilike hicho kidogo ulicho nacho kitunze, kithamini maana baadae hutaweza pengine kukipata kabisa...

Ya kuambiwa changanya na zako kisha fikiria dhana ya BAFU lilivyo.

SERIKALI IPO IMARA HAITAKUBALI KUYUMBISHWA NA KIBARAKA YEYOTE YULE WA NDANI YA NCHI AU NJE YA NCHI, TUMEJIPANGA KWA ZAIDI YA MIAKA HAMSINI KUENDELEA KULINDA AMANI YETU.
 
Hiyo amani ni amani gani mkuu mbona unakuwa mmbea
 
Hiyo amani ni amani gani mkuu mbona unakuwa mmbea
Wacha niwe mbea kwa sababu mimi sitakuwa wa kwanza na nakuombea kabla ya kesho asubuhi akili na mtazamo wako utakuwa umebadilika na kuungana na mimi..

Hivyo vimali vidogo visiwachanganye na kuwapa vitamaa vya ajabu vijana wenzangu, tufanye kazi kwa kuwa Mungu anatuona tunafanya kazi basi atatupa kulingana na kazi tuzifanyazo..
 
Tuchukulie ni kweli huyo Mheshimiwa ametinga huko Majuu.
(Ingawa hukutupa Ushahidi uso-chembe ya shaka tujiridhishe kuwa na Imani nawe juu ya taarifa yako)

Lakini, Je ni dhambi Mtu yeyote kukutana na mwingine Marekani au popote?

Au Lipo katazo kwa Kisheria la Mtanzania au Mwanasiasa yeyote kukutana au kuzungumza na si-Mange tu bali mtu mwingine mwenye Itikadi kinzani na serikali iliyopo madatakani?

Au huu wako ni Ujinga-ujinga tu hivi ambao nahisi kwa muendelezo wa yanayojiri usishangae ikaletwa Hati ya dharula ya marekebisho ya Sheria Mjengoni,
'Marufuku kukutana,kuongea au kuwasiliana na yoyote anaeikosoa 'Sirikali'.

Acha Uoga,
Mwaga Ushahidi uwafunge mdomo wanaojifanya kukuponda/kukukosoa kwa bandiko lako hili (Nikiwemo mimi).


Vinginevyo utaonekana wewe ni hovyo.

Nawasilisha.


 
Tunaomba video zao
 
Mnamsha taharuki za bureeee wenzako huku wanapiga jeramba
 

Attachments

Sasa tunapita mtaani kuwaonesha jinsi tulivyo jipanga kwa miaka zaidi ya 50
 
Kuna point moja kutoka ulipochukua huo umbea umeiacha hapo you look like fools kijana wangu Egnecious
 
Musiba ,Jerry Murro,Lemutuz na mwenzao Daudi Bashite "zero brain"hawajui hata kudanganya wazushi tu hawa
1.5 TRILION INAMTESA "DADDY" BIGGIE!
 
Wakati mwingine nashindwa kuelewa, mada Kama hii hata baada ya kuthibitika ni ya uongo lakini bado ipo hapa jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…