Tetesi: Mpango mchafu wa Mange Kimambi na Freeman Mbowe wavuja

Umevurugwa wewe,Mbowe hajasafiri yupo hapa hapa tz akiendelea na shughuli zake.Jana usiku alikuwa na kikao na wafanyakazi wa kampuni yake ya magazeti.Unaposema ameenda bila vyombo vya habari kujuwa huo ni ufinyu wa fikra,je kagame hutoa taarifa?
 
Ni kweli kabsa bw msiba hata mimi nlimwona mbowe akiwa na huyo mange na Lissu walikaa palm hotel hapa Marekani baada ya hapo wakaenda kwa yule jamaa anayependa kumkosoa Trump aliyekuwa mkurugenzi wa FBI
 
Nyie watanzania mnaoishi Marekani ni watu wa hovyo sana. Kwanza unasema amefanya mazungumzo ya siri alafu hapo hapo unasema umemwona akiwa na Mange, kuna mantiki hapo?

Alafu unadai kuwa kila kiongozi akisafiri nje ya nchi lazima chama kitanganze au lazima apost kwenye mitandao? Kweli? Nilifikiri mtu kufika kuishi tu Marekani basi hata fikra zako zinakuwa zimebadilika.

Alafu pia nilidhani kwakuwa mnaishi katika nchi inayoongoza kwa democracy duniani basi mngeishauri serikali iruhusu maandamano ya amani ila mnayapinga kama wapumbavu.

Kwanza siamini kama hii kitu imeandikwa na mtu anaeishi Marekani, wapuuzi wa Lumumba mnatuchuuza hapa.
Huyo anaishi sigimbi.
 
Mbowe anatakiwa kuripoti mahakamani kila alhamis na hatakiwi kutoka nje ya mkoa bila kibali maalumu so huko Marekani ameendaje?
Huyu ni le mutuz wamekosea wamesahau kuhusu kesi.
Watabadilisha watasema ni skype meeting.
 
*MPANGO MCHAFU WA MANGE KIMAMBI NA FREEMAN MBOWE WAVUJA!!!!!!!!*

• Wakutana Marekani kujadili mipango ya kuivuruga Tanzania
• Watanzania waishio Marekani watahadharisha.

Na Julius Bernard, Maryland USA.

Imethibitika, Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe ametua nchini Marekani na kufanya kikao cha siri na Mange Kimambi, Mwanadada anayetumia mitandao ya kijamii kuhamsisha maandamano haramu na kuishambulia Serikali ya Tanzania.

Mbowe ametua Marekani kutoka Tanzania, pasi kutolewa taarifa yoyote kwenye vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii kama ambavyo viongozi wanasiasa wamekuwa wakifanya hasa ndani ya chama chake cha CHADEMA.

Nimemuona Mbowe akiwa na baadhi ya Watanzania wa hapa Marekani wakijadiliana mambo na baadaye akiwa na Mange Kimambi ambaye amekuwa akiunga mkono harakati za kisiasa za CHADEMA zenye mlengo wa kuichafua Serikali, viongozi wa Tanzania hasa Rais John Magufuli na nchi ya Tanzania.

Kwa sasa Mange anahamasisha maandamano haramu anayoyatangaza kuwa yatafanyika tarehe 26 Aprili, 2018 siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Ninachokiona dhahiri ni njama halifu za kuichafua Tanzania, Mbowe anafanya mbinu zote hizi kuhakikisha nchi haikaliki na hili ni jambo ambalo Watanzania lazima walielewe.

Mange Kimambi anahamisisha maandamano tarehe 26 Aprili, zimebaki siku tatu kufikia tarehe hii na tayari Mbowe amekimbia Tanzania na kuja huku Marekani ili Watanzania watakaothubutu kuandamana wakutane na mkono wa dola wakati yeye akiwa salama salimini.

Hii ina maana kuwa Freeman Mbowe na Mange Kimambi wamechora mpango huu wa kutaka watu waandamane kiharamu, wakumbane na vyombo vya dola, waumizwe ama wapoteze maisha kama alivyosema yeye mwenyewe wafe kama 100 au 200 ilihali yeye na mhamasishaji wa maandamano Mange Kimambi wapo Marekani wanakula bata.

Watanzania waliopo Marekani ambao wamemshuhudia Mbowe akiwa hapa pamoja na Mange Kimambi katika mipango yao ya kuhamasisha maandamano wanaonya juu ya upuuzi huu, na wanasema watasema kila wanachokifanya hapa Marekani.

Na hii ndio imekuwa janja ya wanasiasa wengi kuhamasisha maandamano na kukimbilia mafichoni pale wanapoona mkono wa dola hautawaacha. Wengi wamekuwa wakijificha majumbani kwao au kusikojulikana ndani ya nchi, lakini safari hii Mbowe kaona akimbilie nchi nyingine.

Tulioko Marekani na tunaofuatilia hali ya nyumbani Tanzania tunajua hakuna cha maandamano wala mikusanyiko itakayofanyika kwa kuhamasishwa na Mange Kimambi, na itakuwa ajabu sana kama vyombo vya dola vitavumilia hata kwa dakika moja jaribio lolote la kuwaacha watu waandamane ama kukusanyika visivyo halali.

Nimalizie kwa kuwatakia heri Watanzania wenzangu wote huko Tanzania mnapoelekea katika maadhimisho ya siku ya Muungano Aprili 26, tuendeleeni kujenga nchi, tushikamane na serikali na Rais Magufuli ambaye ameonesha dhamira ya kweli ya kuitoa nchi katika mkwamo wa uchumi na kujenga uchumi imara, wa kujitegemea, wenye heshima na endelevu kwa kizazi cha sasa na kijacho.

Nchi zote zilizoendelea zilipita katika kipindi hicho na watu kama akina Freeman Mbowe na washirika wake wanaotumiwa na wanyonyaji na mabepari walidhibitiwa kwa nguvu zote na bila kuona haya.

Kasomeni wakati Baba wa Taifa la China Mao Zedong (Mao tse-Tung) aliyeishi kati ya mwaka 1893 na mwaka 1976 alipoamua kuchukua hatua ya kuijenga china, alipata upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya wanasiasa lakini alikomaa nao na China ikapiga hatua kubwa zilizojenga msingi imara uliopelekea China ya leo.

Kwa heri.
ahsante kwa kuhamasisha maandamano
 
kama "madayasipora" ndio aina hii ya mleta mada, basi nina kila sababu ya kuunga mkono jitahada za serikali za kuwanyima uraia pacha.

tukutane april 26.
Kaka Ni huyo mpuuzi mmoja pekee, hapa maandamano Kama kawaida niamini mimi sisi watanzania tuishio US tunakutana tarehe 25 nje ya ubalozi wetu.
 
Manyani ya Lumumba at work.

Marekani hakuna mtu mjinga kama muandishi wa hii takataka.

By the way ni nini kilichokukimbiza Tanzania mpaka umeenda kuishi ukimbizini huko Marekani?

Wanaume tuko Bongo na Muhutu ataelewa tu tarehe 26.
 
Mgao ktk ile 1.5 tr umepata sh ngp mkuu? Naona unajitoa ufaham hadharani
 
Hongera Mr. Musiba. Naona upo kazini!!!hizi ndio kati ya Kazi za kilaghai ulizopewa na kuhakikishiwa ulinzi.!??? Endelea ila tunakuona zuzu tu kama si zwazwa.
 
Huyu jamaa aliyeandika habari hii anaishi Mererani wala siyo marekani.
 
Wewe DC mzima unahangaika na mambo ambayo huna uhakika nayo ndugu yangu, si ungekaa ofisini utatue kero za watu? Sio mbaya ndio huenda liko kwenye ratiba yako.
 
HUYU JAMAA YAANI HUYU JAMAA

TAREHE 5.4.2018 KAANDIKA KUWA NI MWANDISHI WA HABARI NA ANAISHI DAR NA HAWEZI KUTAJA JINA LAKE KATIKA UZI WAKE "JUKWAA LA WAHARIRI (TEF) MNAFANYA KOSA LILILOFANYWA NA MAASKOFU WA KKKT NA TEC"

JUZI TAREHE 16.4.2018 KATIKA UZI WAKE USEMAO "HONGERENI MH. MAGDALENA SAKAYA MBUNGE WA KALIUA", KASEMA ANAITWA Julius N.J, ANAISHI Dodoma.

NAHISI HUYU NI MIONGONI MWA "Unknown People"

KWELI NJAA KALI NDG. VUMILIA TU UTATEULIWA HATA BALOZI WA "Ten Houses"

UKITAKA KUWA MWONGO, KUWA NA KUMBUKUMBU YA KUTOSHA.
 
*MPANGO MCHAFU WA MANGE KIMAMBI NA FREEMAN MBOWE WAVUJA!!!!!!!!*

• Wakutana Marekani kujadili mipango ya kuivuruga Tanzania
• Watanzania waishio Marekani watahadharisha.

Na Julius Bernard, Maryland USA.

Imethibitika, Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe ametua nchini Marekani na kufanya kikao cha siri na Mange Kimambi, Mwanadada anayetumia mitandao ya kijamii kuhamsisha maandamano haramu na kuishambulia Serikali ya Tanzania.

Mbowe ametua Marekani kutoka Tanzania, pasi kutolewa taarifa yoyote kwenye vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii kama ambavyo viongozi wanasiasa wamekuwa wakifanya hasa ndani ya chama chake cha CHADEMA.

Nimemuona Mbowe akiwa na baadhi ya Watanzania wa hapa Marekani wakijadiliana mambo na baadaye akiwa na Mange Kimambi ambaye amekuwa akiunga mkono harakati za kisiasa za CHADEMA zenye mlengo wa kuichafua Serikali, viongozi wa Tanzania hasa Rais John Magufuli na nchi ya Tanzania.

Kwa sasa Mange anahamasisha maandamano haramu anayoyatangaza kuwa yatafanyika tarehe 26 Aprili, 2018 siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Ninachokiona dhahiri ni njama halifu za kuichafua Tanzania, Mbowe anafanya mbinu zote hizi kuhakikisha nchi haikaliki na hili ni jambo ambalo Watanzania lazima walielewe.

Mange Kimambi anahamisisha maandamano tarehe 26 Aprili, zimebaki siku tatu kufikia tarehe hii na tayari Mbowe amekimbia Tanzania na kuja huku Marekani ili Watanzania watakaothubutu kuandamana wakutane na mkono wa dola wakati yeye akiwa salama salimini.

Hii ina maana kuwa Freeman Mbowe na Mange Kimambi wamechora mpango huu wa kutaka watu waandamane kiharamu, wakumbane na vyombo vya dola, waumizwe ama wapoteze maisha kama alivyosema yeye mwenyewe wafe kama 100 au 200 ilihali yeye na mhamasishaji wa maandamano Mange Kimambi wapo Marekani wanakula bata.

Watanzania waliopo Marekani ambao wamemshuhudia Mbowe akiwa hapa pamoja na Mange Kimambi katika mipango yao ya kuhamasisha maandamano wanaonya juu ya upuuzi huu, na wanasema watasema kila wanachokifanya hapa Marekani.

Na hii ndio imekuwa janja ya wanasiasa wengi kuhamasisha maandamano na kukimbilia mafichoni pale wanapoona mkono wa dola hautawaacha. Wengi wamekuwa wakijificha majumbani kwao au kusikojulikana ndani ya nchi, lakini safari hii Mbowe kaona akimbilie nchi nyingine.

Tulioko Marekani na tunaofuatilia hali ya nyumbani Tanzania tunajua hakuna cha maandamano wala mikusanyiko itakayofanyika kwa kuhamasishwa na Mange Kimambi, na itakuwa ajabu sana kama vyombo vya dola vitavumilia hata kwa dakika moja jaribio lolote la kuwaacha watu waandamane ama kukusanyika visivyo halali.

Nimalizie kwa kuwatakia heri Watanzania wenzangu wote huko Tanzania mnapoelekea katika maadhimisho ya siku ya Muungano Aprili 26, tuendeleeni kujenga nchi, tushikamane na serikali na Rais Magufuli ambaye ameonesha dhamira ya kweli ya kuitoa nchi katika mkwamo wa uchumi na kujenga uchumi imara, wa kujitegemea, wenye heshima na endelevu kwa kizazi cha sasa na kijacho.

Nchi zote zilizoendelea zilipita katika kipindi hicho na watu kama akina Freeman Mbowe na washirika wake wanaotumiwa na wanyonyaji na mabepari walidhibitiwa kwa nguvu zote na bila kuona haya.

Kasomeni wakati Baba wa Taifa la China Mao Zedong (Mao tse-Tung) aliyeishi kati ya mwaka 1893 na mwaka 1976 alipoamua kuchukua hatua ya kuijenga china, alipata upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya wanasiasa lakini alikomaa nao na China ikapiga hatua kubwa zilizojenga msingi imara uliopelekea China ya leo.

Kwa heri.

THITHEMI KITU HAPA NGASTUKA
 
Sasa kwa kuwakomesha akina mbowe, hao watakaoandamana, msiwafanye chochote
 
Back
Top Bottom