Tetesi: Mpango mchafu wa Mange Kimambi na Freeman Mbowe wavuja

Kweli wewe ndio zuzu unataka kumdanganya nani wakati Mbowe hatakiwi kutoka nje ya Dar bila kibali huko Marekani ameenda mwaka gani?
Halifahamu hilo nadhani huyu atakuwa ni msiba, awe USA bila Picha kweli.
 
Bashite behind the scene sema mwandiko wake unajulikana atakuwa kampa msiba aandike,wamesahau kila Mbowe hawezi safiri bila kibali sababu ana kesi,movies zao huwa wakitunga lzm tu shaka hazikosi.
 
Huyu mpuuzi yupo Bongo bhana, asizinguwe
 
Huwezi kuishi Marekani ukawa na akili ya kipumbavu kama hii ya mtoa mada.
 
Sawa andamana basi kisha utajua kama ulikua inachuuzwa ama unatahadharishwa
 
 
Uzalendo ni nini?kwa nini lumumba mnaogopa maandamano?
 
Alieturoga wa tz bado hajapatikana ila ulozi wake ni mkali sana kiasi kwamba waliobahatika kujitambua nibwachache sana,,hivi kwa hali ilivyo tz sasahv bado kuna mtu anahitaji kupimwa mkojo au ubongo ndo aelewe kuwa tunapokwenda sipo??
 
Wasiojulikana AU MSIBA wakivuruga amani ya nchi kwako ni sawa tu au?
Usiwe na upande.Kemea wote. na pia hakuna marufuku mtu kusafiri siku 3 kabla ya 26/4/2018.
 
Huo sio ujanja ni upuuzi kiwango cha lami... Unafikiri nimeangalia location aliyoandika? Kuna mengi ya digital bado hujui... Am sure hujui hata kusearch true location ya mtu
Hahahaha..... ngoja ni cheke tu Mshana Jr
 
*MPANGO MCHAFU WA MANGE KIMAMBI NA FREEMAN MBOWE WAVUJA!!!!!!!!*

Wewe utakuwa moja wapo kati ya vijana waliyo pimwa Tezi dume na makonda hapo lumumba
Kwa tarifa tulizo pata kutoka kwa mzee lumumba !!
 
Zile 1.51 tillion mmeshawaeleza wananchi mmetumia kwenye nn au bado mnatafuta....haya ya maandamano yaache kwanza hadi tar 26
Na wewe si ndo walewale. Akili yako nyembamba kama ya mange kama uzi wa kushonea nguo. Ile hela kwa mwenye akili hawezi, ni kulink matukio na shughuli za serikali utagundua kitu. Serikali haiwezi kukwambia kila kitu inachokifanya. Vingine ni siri yake. Timu ukawa acheni ubwege na kulishwa maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…