Tetesi: Mpango mchafu wa Mange Kimambi na Freeman Mbowe wavuja


It doesn't matter whether a cat is black or white, as long as it catches mice. Deng aliamua kuweka ujamaa pembeni.

Sisi tunataka kurudi kwenye Ujima wa Mao.
 
Yaani umemuona mbowe akiwa na mange kimambi tu, bila hata kusikia wanaongea nini, ukaja kuandika gazeti lote hili

Sasa ungesikia mazungumzo yao si ungeandika vitabu
 
Wakuu hivi masharti ya dhamana ya Mbowe hayakuhusisha uwasilishaji wa pasipoti polisi kama dhamana?
 
Tatizo sio Mboe wala Mange Kimambi tatizo ni serikali ya chama cha mapinduzi na mipango mibovu isio tekelezeka kama serikali imesema itapeleka mikataba ya madini Bungeni alafu haikupeleka tatizo ni Mboe na Mange kimambi? Kama serikali haina majibu kwa walipa kodi tilion 1.5 zipo wap? Kama serikali haiweki wazi bajeti ya manunuzi ya ndege tatizo ni Mboe? Kama Rais ana vunja katiba kukataza mikutano ya kisiasa Tatizo ni Mange? Duh hoja zako zakijinga kabisa
 
Sawa andamana basi kisha utajua kama ulikua inachuuzwa ama unatahadharishwa
Wewe ni mtu au robot?

Tatizo langu sio kuandamana, tatizo ni hizo tuhuma hewa mnazotaka kumpakazia mtu asiye na hatia kisa ni chuki zenu kwake.

Kama mna ushahidi kwanini msimfungulie kesi mahakamani na sio kuandika tuhuwa zisizo na mashiko kama mahohehahe
 
Alieturoga wa tz bado hajapatikana ila ulozi wake ni mkali sana kiasi kwamba waliobahatika kujitambua nibwachache sana,,hivi kwa hali ilivyo tz sasahv bado kuna mtu anahitaji kupimwa mkojo au ubongo ndo aelewe kuwa tunapokwenda sipo??
Wapo mkuu wanaotakiwa kupimwa hadi vinasaba kubaini kama ni binadamu au ni mazombi
 

Mna tuhuma hewa ngapi kwa JPM.
 
Watanzania waliopo Marekani ambao wamemshuhudia Mbowe akiwa hapa pamoja na Mange Kimambi katika mipango yao ya kuhamasisha maandamano wanaonya juu ya upuuzi huu, na wanasema watasema kila wanachokifanya hapa Marekani.
Kweli wewe ni punguani wa akili, Mara nimemuona Mbowe akiwa na baadhi ya watanzania wa hapa Marekani wakijadiliana Mambo na baadaye akiwa na Mange Kimambi,mara watanzania waliopo Marekani wamemshuhudia Mbowe akiwa hapa pamoja na Mange Kimambi halafu unajiita uko Marekani.

Ni Marekani ileile ya Trump aliyemjambisha Bwana kiduku mpaka kalazimika kufanya mazungumzo na Marekani sambamba na kuachana na silaha za nyukria? au ni Marekani ya milembe?.
 
we need the bloody 1.5tr back. and fast!
 
Alieturoga wa tz bado hajapatikana ila ulozi wake ni mkali sana kiasi kwamba waliobahatika kujitambua nibwachache sana,,hivi kwa hali ilivyo tz sasahv bado kuna mtu anahitaji kupimwa mkojo au ubongo ndo aelewe kuwa tunapokwenda sipo??
Na wewe acha mawazo ya kiushirikina. Unawaza kurogwa? Tena watanzania? Sio wote wanarogeka ! Simama na damu ya Yesu uone.
 
Yani wewe kweli akili yako ndio kabisa sio hata nyembamba bali ni hewa kabisa.

Eti serikali sio lazima iseme kila kitu vingine ni siri?????

Upumbavu kama huu ndio unatakiwa ukemewe, yani kodi nalipa mimi alafu matumizi ya hiyo kodi unataka yawe siri?

Kweli hii nchi bado tupo nyuma sana, siamini kama kuna watu bado wana akili za ki-zombie kama wewe.

Au kuna under age humu jamani?
 
Nawe umemuamini km Mbowe yupo Marekani,labda Marekani ya Chato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…