Tetesi: Mpango mchafu wa Mange Kimambi na Freeman Mbowe wavuja

Nyie watanzania mnaoishi Marekani ni watu wa hovyo sana. Kwanza unasema amefanya mazungumzo ya siri alafu hapo hapo unasema umemwona akiwa na Mange, kuna mantiki hapo?

Alafu unadai kuwa kila kiongozi akisafiri nje ya nchi lazima chama kitanganze au lazima apost kwenye mitandao? Kweli? Nilifikiri mtu kufika kuishi tu Marekani basi hata fikra zako zinakuwa zimebadilika.

Alafu pia nilidhani kwakuwa mnaishi katika nchi inayoongoza kwa democracy duniani basi mngeishauri serikali iruhusu maandamano ya amani ila mnayapinga kama wapumbavu.

Kwanza siamini kama hii kitu imeandikwa na mtu anaeishi Marekani, wapuuzi wa Lumumba mnatuchuuza hapa.
Je ni kweli Mbowe yuko Marekani?
Je ni kweli Mbowe kakutana na Mange?
 
Kicheko ni afya unadhani degree ya uganga nilifoji?
Wadanganye watumiaji wa digital siyo watu kama sisi ambao tumetoka kwenye utumiaji hadi level nyingine!!! Hahahahaha..!!
 
Kwa hiyo unataka kutuambia nini kwa mfano wa taifa la china kupitia katika hali Kama tunayopitia Tanzania kwa Sasa ...

Inamaana Baba wa Taifa la China Mao Zedong (Mao tse-Tung) nae mwanzoni tu katika kampeni zake za kuijenga China akasunda 1.5 trln au sio?

Na SIEJii wao wa kichina akasimamishwa na kuulizwa kama hizo 1.5. trln zimeibiwa afu akakataa?

Mxscwszzzz!!! Msitutanie hapa!!!

halafu ulichoandika hakiendani na kichwa cha habari ... Habari yako imeleza madhara vitisho kwa waandamanaji na sio taarifa ya huo mpango ulio vuja ...
 
Nyie watanzania mnaoishi Marekani ni watu wa hovyo sana. Kwanza unasema amefanya mazungumzo ya siri alafu hapo hapo unasema umemwona akiwa na Mange, kuna mantiki hapo?

Alafu unadai kuwa kila kiongozi akisafiri nje ya nchi lazima chama kitanganze au lazima apost kwenye mitandao? Kweli? Nilifikiri mtu kufika kuishi tu Marekani basi hata fikra zako zinakuwa zimebadilika.

Alafu pia nilidhani kwakuwa mnaishi katika nchi inayoongoza kwa democracy duniani basi mngeishauri serikali iruhusu maandamano ya amani ila mnayapinga kama wapumbavu.

Kwanza siamini kama hii kitu imeandikwa na mtu anaeishi Marekani, wapuuzi wa Lumumba mnatuchuuza hapa.
Hilo ni zuzu Fulani tu linaishi manzesekwa mfuga mbwa. Linadhani marekani ni Kama kariakoo au manzese ambako watu kazi kuchungulina na kukusanya udaku. Pumbafuu kabisa
 
*MPANGO MCHAFU WA MANGE KIMAMBI NA FREEMAN MBOWE WAVUJA!!!!!!!!*

• Wakutana Marekani kujadili mipango ya kuivuruga Tanzania
• Watanzania waishio Marekani watahadharisha.

Na Julius Bernard, Maryland USA.

Imethibitika, Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe ametua nchini Marekani na kufanya kikao cha siri na Mange Kimambi, Mwanadada anayetumia mitandao ya kijamii kuhamsisha maandamano haramu na kuishambulia Serikali ya Tanzania.

Mbowe ametua Marekani kutoka Tanzania, pasi kutolewa taarifa yoyote kwenye vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii kama ambavyo viongozi wanasiasa wamekuwa wakifanya hasa ndani ya chama chake cha CHADEMA.

Nimemuona Mbowe akiwa na baadhi ya Watanzania wa hapa Marekani wakijadiliana mambo na baadaye akiwa na Mange Kimambi ambaye amekuwa akiunga mkono harakati za kisiasa za CHADEMA zenye mlengo wa kuichafua Serikali, viongozi wa Tanzania hasa Rais John Magufuli na nchi ya Tanzania.

Kwa sasa Mange anahamasisha maandamano haramu anayoyatangaza kuwa yatafanyika tarehe 26 Aprili, 2018 siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Ninachokiona dhahiri ni njama halifu za kuichafua Tanzania, Mbowe anafanya mbinu zote hizi kuhakikisha nchi haikaliki na hili ni jambo ambalo Watanzania lazima walielewe.

Mange Kimambi anahamisisha maandamano tarehe 26 Aprili, zimebaki siku tatu kufikia tarehe hii na tayari Mbowe amekimbia Tanzania na kuja huku Marekani ili Watanzania watakaothubutu kuandamana wakutane na mkono wa dola wakati yeye akiwa salama salimini.

Hii ina maana kuwa Freeman Mbowe na Mange Kimambi wamechora mpango huu wa kutaka watu waandamane kiharamu, wakumbane na vyombo vya dola, waumizwe ama wapoteze maisha kama alivyosema yeye mwenyewe wafe kama 100 au 200 ilihali yeye na mhamasishaji wa maandamano Mange Kimambi wapo Marekani wanakula bata.

Watanzania waliopo Marekani ambao wamemshuhudia Mbowe akiwa hapa pamoja na Mange Kimambi katika mipango yao ya kuhamasisha maandamano wanaonya juu ya upuuzi huu, na wanasema watasema kila wanachokifanya hapa Marekani.

Na hii ndio imekuwa janja ya wanasiasa wengi kuhamasisha maandamano na kukimbilia mafichoni pale wanapoona mkono wa dola hautawaacha. Wengi wamekuwa wakijificha majumbani kwao au kusikojulikana ndani ya nchi, lakini safari hii Mbowe kaona akimbilie nchi nyingine.

Tulioko Marekani na tunaofuatilia hali ya nyumbani Tanzania tunajua hakuna cha maandamano wala mikusanyiko itakayofanyika kwa kuhamasishwa na Mange Kimambi, na itakuwa ajabu sana kama vyombo vya dola vitavumilia hata kwa dakika moja jaribio lolote la kuwaacha watu waandamane ama kukusanyika visivyo halali.

Nimalizie kwa kuwatakia heri Watanzania wenzangu wote huko Tanzania mnapoelekea katika maadhimisho ya siku ya Muungano Aprili 26, tuendeleeni kujenga nchi, tushikamane na serikali na Rais Magufuli ambaye ameonesha dhamira ya kweli ya kuitoa nchi katika mkwamo wa uchumi na kujenga uchumi imara, wa kujitegemea, wenye heshima na endelevu kwa kizazi cha sasa na kijacho.

Nchi zote zilizoendelea zilipita katika kipindi hicho na watu kama akina Freeman Mbowe na washirika wake wanaotumiwa na wanyonyaji na mabepari walidhibitiwa kwa nguvu zote na bila kuona haya.

Kasomeni wakati Baba wa Taifa la China Mao Zedong (Mao tse-Tung) aliyeishi kati ya mwaka 1893 na mwaka 1976 alipoamua kuchukua hatua ya kuijenga china, alipata upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya wanasiasa lakini alikomaa nao na China ikapiga hatua kubwa zilizojenga msingi imara uliopelekea China ya leo.

Kwa heri.
We ni bonge la fala yani, aliyekutuma mwambie kachemka. Mnajaribu kutumia kila njia mtutoe kwenye reli bt mmechelewa. Hivi nikuulize swali, umesema upo marekani Co? Mbowe umemuona sasa mbona umeshindwa hata kutuwekea evidence ya picha? Acha bangi njoo nikunyonyeshe ubo*
 
Ipo siku Mungu atalipa kwa maovu yote yanayotendeka... shubaaamit
 
Passport ya Mbowe iko polisi. Jeshi la polisi likamatwe kwa kufanya uhalifu.

Ha ha ha huyu mtoa mada just ha ha ha!
 
Mmeshachafuka na mnazidi kujichafua kila kukicha. Weka picha hapa. Mtu asiende kujitibia? Huo ndio uchochezi ila kwa kuwa mko kibhande ile hawaoni hata kidogo
 
Unasema amekutana na watanzania waishio marekani ila inaonekana umetengwa wewe peke yako?
Jiangalie ndg ndege anayepigwa kila akiingia kwenye kundi la ndg wengine ni bundi.
Angalia unagamasisha maandamano hujui mkono wa serikali ni mrefu?
Endelea na mpango huo ukishirikiana na mange unaona unatumia akili.
 
Back
Top Bottom