Najua hilo na ndio maana nikasema kuwe na forum za siri kama hamtoweza kufanya kwa kikundi basi tengeneza agenda zako mwenyewe na sifanyie kazi kama unajimudu la sivyo tutabaki tunajidanganya tu kwenye mitandao na hakuna kitu kitakachotokea.Yaani kuongea tu hapa hakuna siri tena.
Siri ni yako peke yako mkiwa kuanzia wawili hakuna siri.
Vijana wenzangu siku ya tarehe 29 October ni siku yetu ya kuikomboa Tanzania na kujenga Tanzania mpya.
Sasa basi tusipelekeshwe na wanasiasa maana hawa ndio vigeugeu wakutuchomesha maana wengi ni double agents.
Najua wapo vijana wengi wasomi wenye uwezo wakutengeneza forum za siri ambazo tutaweka mipango yetu humo, siku hiyo mengi yawe surprise. Nawakilisha kwa vijana wote waliotayari.
Itabidi tutembelee vilinge kwanza ni muhimu...Jambo la uwakika lazima liwe na mipango madhubuti, kuandamana kama walivyofanya wakenya ule ni uzwazwa tutapigwa sana na hatutafanikiwa.
SahihiLazima tujue kuwa ni mashindano ya mtu asiye na silaha vs mwenye silaha kali na dola, kwaiyo lazima tumfanyie analysis kwanza kutafuta mapungufu yake. Na ipo wazi kabisa mapungufu yake ni akili, wanatumia nguvu kuliko akili.
Tukijipanga na kuweka matumizi makubwa ya akili tutatoboa.
Ni kwa kuwa machawa kama wote na wao kazi ni kulihujumu taifa hiliYaani kuongea tu hapa hakuna siri tena.
Siri ni yako peke yako mkiwa kuanzia wawili hakuna siri.
Swali zuri aje atoe maelezoš¤Taifa linakombolewaje hiyo siku?
Tengeneza network..uwe na watu sio chini ya wa 5 mnaoaminiana na kushibana na hao wawe na watu wao wa 5 and then the chain like that..
Huyu mama mwache ashupaze shingo mana katuona mafala sana
SahihiLazima tujue kuwa ni mashindano ya mtu asiye na silaha vs mwenye silaha kali na dola, kwaiyo lazima tumfanyie analysis kwanza kutafuta mapungufu yake. Na ipo wazi kabisa mapungufu yake ni akili, wanatumia nguvu kuliko akili.
Tukijipanga na kuweka matumizi makubwa ya akili tutatoboa.
Wenzako wanawaza kuchokonoa vizazi vya wadada wewe unawaza kuwakomboa daaah hii dunia haipo fairSisi tuko 10 kata nzima lakini mipingo yetu nina uhakika tutawawakilisha vizuri sana