Mpango mkakati wa serikali dhidi ya vijana wanaobadili picha na video za Mama Samia kupitia ai kuwa za ovyo

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,367
Reaction score
11,604
Watoto wa 2000 wamezidi utukutu, muda mwingine huwa najiuliza hawa vijana ni watanzania kweli ama wakenya?

Yaani mwana IT unasogeza kompyuta mpakato mapajani, unaselect picha ama video ya Mama Samia na kuigeuza kuwa ya ovyo, mara mama anapigana na Rais wa Korea, mara mama anaogelea kwenye sakafu, mara mama anadance Sangoro ya Diamond, mara mama anabusunu na nyingine nyingi za ajabu

Kwa hiyo ndo kusema serikali imeshindwa kufanya jambo dhidi ya hawa vijana

Naumia sana kuona Mama yangu mpole na mnyenyekevu, Mama Samia Suluhu Hassan i.e Mama Melki Wamatukio akidhalilishwa namna hii kwenye mitandao ya kijamii

Kuna muda natamani kulia kama sio kujinyonga kabisa nikafie mbali kuliko kukumbana na aibu hii

Na hili nalo uongozi ukalitizame...
😭😭😭
 
sasa kama anafanya ujinga wa waziwazi kabisa unataka asishughulikiwe na hao Gen Z nyie kama vizazi vyenu vilikuwa vimelala wenzenu ndio wanaamka sasa na huwezi kuwaburuza kichawa chawa dunia imebdilika sana na watanzani wa leo sio wa miaka ile yenu ya jeikeiiitii jitu linadhaliliiiiishwa wala halisemi wala halilalamiki. na ukitaka kujua mama yenu amechoka analaumu watu wanaovujisha ufisadi badala ya kuwapongez na kushughulika na wezi wenzie.
 
Mleta mada umeteuliwa kuwa RC Iringa.
Kesho karipiti rasmi ndio lengo lako la uzi.
 
Kile ni kipaji waendelezwe wale vijana, Mimi na ujanja wangu wote siwezi Fanya Yale😃🤣. Vijana wanaweza japokuwa wanachukua maudhui ya mkuu wa kaya ndio maana wengi tunaona ila wangukuwa wanachezea sura yangu sijui kama wangefuatiliwa namna hii
 
vijana wamekosa adabu na heshima kabisa, wakimatwa waanze kulialia na kutafuta huruma kwa jamii, wanachofanya sio sawa
 
Watoto wa 2000 wamezidi utukutu, muda mwingine huwa najiuliza hawa vijana ni watanzania kweli ama wakenya?

Yaani mwana IT unasogeza kompyuta mpakato mapajani, unaselect picha ama video ya Mama Samia na kuigeuza kuwa ya ovyo, mara mama anapigana na Rais wa Korea, mara mama anaogelea kwenye sakafu, mara mama anadance Sangoro ya Diamond, mara mama anabusunu na nyingine nyingi za ajabu

Kwa hiyo ndo kusema serikali imeshindwa kufanya jambo dhidi ya hawa vijana

Naumia sana kuona Mama yangu mpole na mnyenyekevu, Mama Samia Suluhu Hassan i.e Mama Melki Wamatukio akidhalilishwa namna hii kwenye mitandao ya kijamii

Kuna muda natamani kulia kama sio kujinyonga kabisa nikafie mbali kuliko kukumbana na aibu hii

Na hili nalo uongozi ukalitizame...
😭😭😭
sasa si wanasema vijana wakajiajir sasa mnalalamika nini huo bunifu digital
 
Ungetuma tuzionee
 
Back
Top Bottom