Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Sipendelei uzionee mkuu kwa kuwa ni za aibu sanaAisee inasikitisha sana ziko wapi hizo picha tujionee ?
Hapana mkuu, sina uchu wa madaraka wala ndoto za kuwa kiongozi hata wa serikali za mitaa. Nazungumza kama mtoto kwa mamaMleta mada umeteuliwa kuwa RC Iringa.
Kesho karipiti rasmi ndio lengo lako la uzi.
sasa si wanasema vijana wakajiajir sasa mnalalamika nini huo bunifu digitalWatoto wa 2000 wamezidi utukutu, muda mwingine huwa najiuliza hawa vijana ni watanzania kweli ama wakenya?
Yaani mwana IT unasogeza kompyuta mpakato mapajani, unaselect picha ama video ya Mama Samia na kuigeuza kuwa ya ovyo, mara mama anapigana na Rais wa Korea, mara mama anaogelea kwenye sakafu, mara mama anadance Sangoro ya Diamond, mara mama anabusunu na nyingine nyingi za ajabu
Kwa hiyo ndo kusema serikali imeshindwa kufanya jambo dhidi ya hawa vijana
Naumia sana kuona Mama yangu mpole na mnyenyekevu, Mama Samia Suluhu Hassan i.e Mama Melki Wamatukio akidhalilishwa namna hii kwenye mitandao ya kijamii
Kuna muda natamani kulia kama sio kujinyonga kabisa nikafie mbali kuliko kukumbana na aibu hii
Na hili nalo uongozi ukalitizame...
πππ

Ungetuma tuzioneeWatoto wa 2000 wamezidi utukutu, muda mwingine huwa najiuliza hawa vijana ni watanzania kweli ama wakenya?