Tetesi: Mpango wa Bulembo na wenzake dhidi ya walionunuliwa na Polepole waiva. Muda si mrefu mikeka itatangazwa upya, wenye CCM wajipanga

Tetesi: Mpango wa Bulembo na wenzake dhidi ya walionunuliwa na Polepole waiva. Muda si mrefu mikeka itatangazwa upya, wenye CCM wajipanga

Very serious offence!!Mr Chahali you must clear this!!!
Muulize Kama atabisha,aliandika mwenyewe suala Hilo la yeye kupewa mpunga na Kinana na alivyorushwa kulipwa pesa hio.Mwambie aje hapa akanushe.
 
Wanamsingizia pole pole wakati jiwe kila akitaka Jambo hata Samia hakukataa, Sasa Kama Majaliwa tu alipigwa mkwara ndo ije utumwe ukanunue mtu ugome, ndugai alimfata msigwa ametumwa na Magu kumnunua mbona jobu hakukataa, hata aliowapa ubunge kina mdee ni Magu
Magu alikuwa mhuni wa level nyingine kabisa. Akina Nape wala siyo wahuni. Nape kipindi cha uenezi wake Demokrasia ilishamiri. Alikuwa na uwezo mkubwa sana kupambana propaganda za jukwaani bao la mkono, mara Lowassa mwizi n.k

Ila Polepole na wahuni wenzake Mungu anawaona kwa walichokifanyia Taifa hili wakati wa Utawala wao. hadi wahamiaji haramu walikuwa wanaokotwa coco beaach wakiwa ndani ya sandarusi. Ni hatari Shekhe!
 
Na wewe kipindi Cha kampeni za 2015 wewe ulinunuliwa na Kinana umpigie kampeni Magufuli mitandaoni,ulivyorushwa hela yako na Kinana ndio ukajifanya unaanza kupiga kelele kumponda Magu.Nyie wote Ni 'malaya' wa kisiasa tu maana mnanunulika tu.

Kinana sio mtu wa kumrusha hela ..
Otherwise hii ni hearsay sio fact
 
Itatue changamoto hiyo kwa kufanya hivi...

Ukimaliza kuandika (typing), kabla ya ku - click kitufe cha "POST", pitia kwanza andiko lako lote neno kwa neno, paragraph kwa paragraph na utaona kila typing error na kusahihisha...

Baada ya hapo, bonyeza kitufe cha " POST" na mambo yanakuwa perfect kabisa na hata kama kutakuwa na makosa ya kiuandishi, basi yatakuwa ni kidogo yasiyo na athari kubwa na yanayoeleweka...

Asante..
Mfundishe Kwanza kiswahili sanifu, hilo la typing error litaisha tu.hizi shule ndo za kulaumiwa.
 
Polepole hajanunua mtu. Watu walinunuliwa na Magufuli kwa niaba ya CCM. Na kwa kuthibitisha hilo, baadhi ya walionunuliwa wameteuliwa na Mama Samia kwenye nyadhifa mbalimbali. Acheni utoto [emoji35]
Acha uongo hao watu hawakununuliwa ingawa waliahidiwa nafasi mbalimbali ndani ya serikali iwapo watarejea Ccm maana wote walikuwa wana CCM huko nyuma na wapo waliokubali na wengine wakachomoa
 
Back
Top Bottom