Mpango wa Greater Israel bado huu hai Netanyahu athibitisha

Kama uliweza sema "hakuna mkristo yeyote asiyeiunga mkono israel"

Mimi sina la zaidi la kukwambia zaidi ya --- " fungua macho mkuu"
Hiyo inaonyesha wazi hakuna!!
 
Reactions: Lax
Hiyo inaonyesha wazi hakuna!!
Sasa kama hata kufungua macho hutaki --- unataka nikupe miujiza ?🤣🤣🤣 kwa bahati mbaya mimi na miujiza ni mbali na mbali mkuu.

Muda utaongea 😁
 
Sasa kama hata kufungua macho hutaki --- unataka nikupe miujiza ?🤣🤣🤣 kwa bahati mbaya mimi na miujiza ni mbali na mbali mkuu.

Muda utaongea 😁
Utasubiri sana!!
 
Reactions: Lax
Waarabu hawa hawa ambao hawajafanya lolote kuwasaidia Gaza?
Quran imesema hayo kwa sababu mwamedi aliwachukia sana mayahudi na wakristo ambao walicheka sana walipokuwa wanasikia hekaya zake.
Imagine mtu mmeshinda naye mchana kutwa halafu mnaagana kwenda kulala kesho yake anakwambia alienda Al Aqsa na mbinguni!
Kiujumla mayahudi na wakristo walimuona mwamedi na hekaya zake kama tunavyomuina Zumaridi!
 
Ni mtu asieijua bible kiundani atasema habari ya greater Israel... Israel kumebaki kabila moja Tu la yuda...Makabila mengine 11 yalishapotea na yalipotea na nafasi na ardhi na urithi wao wote...Bila ya kusahau mji WA Jerusalem ulikuwa urithi WA Efraim na Yuda... lakini alieachwa kuutunza ni kabila moja la Yuda...Yuda ndie aliebakiwa na Jina la Israel...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…