Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,330
- 7,494
Sawa mwenye hoja,, tuseme maiti ni SHUJAA au vipi?!Duh..ukimuona mtu anakimbilia kwenye kutukana na kukejeli ujue ameishiwa hoja..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mwenye hoja,, tuseme maiti ni SHUJAA au vipi?!Duh..ukimuona mtu anakimbilia kwenye kutukana na kukejeli ujue ameishiwa hoja..
Duh...nadhani una tatizo Fulani kubwa...huwezi kukejeli kifo...huwezi kufurahia kifo Cha mwenzio...unalo tatizo kubwa la kisaikolojia...wewe mwenyewe utakufa tu....kumbuka Hilo...acheni unafiki na chuki zisizo na msingi...Nchi hii ni ya wote...resources zilizopo ni za wote...kumbuka Hilo..Sawa mwenye hoja,, tuseme maiti ni SHUJAA au vipi?!
Una maneno mengi kama mwanamke alieachwa na mumewe . Pole mjane.Duh...nadhani una tatizo Fulani kubwa...huwezi kukejeli kifo...huwezi kufurahia kifo Cha mwenzio...unalo tatizo kubwa la kisaikolojia...wewe mwenyewe utakufa tu....kumbuka Hilo...acheni unafiki na chuki zisizo na msingi...Nchi hii ni ya wote...resources zilizopo ni za wote...kumbuka Hilo..
Wewe ni mtu wa kuhurumiwa mno...uelewa wako wa issues ni wa kiwango Cha chini mno...unazungumzia wanawake as if ni viumbe wa chini...duh...kumbuka Rais wako wa sasa ni mwanamke....JPM alikuwa Mrundi? Duh...Una maneno mengi kama mwanamke alieachwa na mumewe . Pole mjane.
Hiyo maiti ya kirundi ilistahili wapewe washenzi wenzie Burundi huko. Kujificha kwake kwenye Usukuma hakumfanyi awe mtanzania na ndio sababu tumetofautiana sana kitabia na nyie warundi.
😄😃
Toa hoja chagadema wewe. Hapa hatufundishani uandishi ila ku ujumbe nHa ha ha ha ha Sasa.... Huko Mataga na Sukuma Gang hawakuwafundisha kuweka paragrafu?
Wewe ndio takataka na huu ndio ukweli.Takataka tu ile Ina thamani gani? Nenda Chato na wewe ukafukiwe
Hapo unaona umesema cha maana? Nani hajui ukweli huo. Hapa tunazungumzia kile anakiacha mtu baada ya kifo chake. ..material and ideas. Wajinga kama wewe ndio wakifa wamekufa..hamna mtu anapigania ideas zao. 😂Ukweli mgumu ni kua kuwe na mpango au kusiwepo na mpango wowote ule kibaiolojia ,kitaalam kabisa UKIFA UMEKUFA HURUDI TENAA ,
Aliwanyosha hadi mumejaa chuki. Sijui mnajiamini nini maana wimbi la kuwapinga dhulumati bado lipo.Una maneno mengi kama mwanamke alieachwa na mumewe . Pole mjane.
Hiyo maiti ya kirundi ilistahili wapewe washenzi wenzie Burundi huko. Kujificha kwake kwenye Usukuma hakumfanyi awe mtanzania na ndio sababu tumetofautiana sana kitabia na nyie warundi.
😄😃
Yaani kuna mijitu na ndugu zao yametemeshwa ulaji na mali za umma walizopora. Yanahorojoka ovyo. Hakuna rationality yoyote kwenye hoja zao ila hasira. Magufuli anaishi kwa taarifa. Bora warudi mapangoni maana nguvu ya umagufuli hata mama akitaka hawezi kupambana nayo.Duh...aisee...nyie watu ni tatizo kwa fikra hizo...ni tatizo kubwa mno..duh..mlinyang'anywa Nini? Mlitseswa lini? Ni Nani aliteswa? Orodhesha happy ubaguzi wa JPM...yaani wewe unaona sahihi huyo sijui Nani kutamka hadharani kuwa eti kabila Fulani linabaguliwa? Hivi kweli wakati wa JPM watj was kabila Fulani hawakupewa teuzi?! Tuwaorodheshe hapa? Cheap and stupid thinking...mtu huyo amewahi kugombea urais Mara kadhaa..fikiria Kama angepata urais...nakumbuka mwaka 1995 watu Fulani walianza kugawana vyeo hata uchaguzi haujafanyika...lakini tunashukuru mtu wao hakupata urais..katika nchi hii makabila you're ni sawa...hakuna ubaguzi...ila Kama wewe ni mkwepa Kodi na fisadi hatutajaki Kama wewe ni dini gani au kabila gani...utashughulikiwa tu...ukijimilikisha nyunba ya NHC miaka 100 na hulipi Kodi utashughulikiwa tu bill kujali wewe ni dini au kabila gani...
Hoja gani? Mnahangaika na Shujaa mwendazake? Hebu soma MHUBIRI 9:5..!!Toa hoja chagadema wewe. Hapa hatufundishani uandishi ila ku ujumbe n
Wewe ndio takataka na huu ndio ukweli.
Umetoa maelezo mazuri sana. Kuna hawa ndugu zetu wachg. Walijua ulaji na kuhonga siku nyingi. Walidominate sana positions. Kwa jinsi walivyojipambanua kumchukia magufuli na kumsingizia ukabila inasikikitisha sana. Umetoa hiyo point ya ukubwa wa kabila la wasukuma na jinsi ni watu wapole... Ndio maana hatujaona tatizo maana madai ya hawa waroho wabinafsi na roho mbaya ni uongo mtupu. Watu wote wamedharau tu.Hakuna kitu Kama Sukuma gang ...it is a myth...wewe na wenzio ndio mmepanick Tena Sana..wewe fikiria mtu mmoja mjinga na mpumbavu baada ya kifo Cha Magufuli alitamka hadharani Tena bila aibu kuwa eti wakati wa JPM kabila Hilo la kaskazini mwa nchi yetu lilikuwa linabaguliwa kwa kutopewa teuzi mbalimbali...can you imagine? Eti walikuwa hawapati teuzi...dah...nchi hiii in makabila karibu 120 sasa fikiria kama Kila kabila litaanza kuhoji kuhusu teuzi...yaani wamwera waanze kuhoji, wapare nao wahoji, sijui watindiga nao wahoji, nao watindiga wahoji, waha wahoji, wamakonde wahoji, wayao, wamakua, wanyakyusa, wabarbag warangi na makabila mengine yote yaanze kuhoji kuhusu teuzi...duh...huu ndio upumbavu na ujinga...sasa hivi karibu makabila yote Yana wasomi na ni tofauti kabisa na wakati wa enzi za ukoloni na miaka iliyofuatia baada ya Uhuru wakati ni maeneo machache tu ya nchi yalinufaika kimfumo katika elimu na miundombinu...siku hizi sekondari zipo Kila kata kwa hiyo wasomi wapo Kila maeneo ya nchi yetu na ambao wanaweza kupata teuzi ...
Mimi nawashangaa hao watu wa kabila Hilo kwa kuanza kuwasema eti kinachoitwa Sukuma gang...wakumbuke tu kwa sasa wasukuma wako Kati ya milioni 12 na 15 nchi nzima...ndio kabila kubwa Tanzania ..ni kabila ambalo ni la watu wapole na wacheshi..hawana ubaguzi wowote ule...wako Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, kagera, Tabora, Mara, Singida, maeneo ya Songwe, iringa, Mbeya mpaka Rukwa...it is a very big tribe, very big indeed...wangekuwa ni watu wa kujisikia tungepata tasbu Sana nchi hii...sasa mijitu mingine mijinga inaanza kuoiga ngoma za kibaguzi dhidi ya wasukuma ...it is a big mistake...sisi wengine tunaoifahamu nchi hii na historia yake lazima tulikemee hili kwa nguvu zote...
Huyo mtu tulimsikia wote.....alihoji hivyo kuwa kabila lake hawateuliwi na kwamba eti wanaandamwa....very stupid indeed...yaani binafsi nilichukia Sana...Mimi siyo Msukuma lakini tukianza kuandama kabila moja ni issue...upo wakati kabila Fulani walijazana huko TRA, Bandari, Hazina na kwingine kwenye fedha na resources lakini hatujasikia kabila Hilo wanaitwa gang...Uko sahihi, hata hivyo, sidhani kama watu walikuwa wanahoji kwanini kabila lao halipati uteuzi. Hoja ilikuwa ni kwanini asilimia kubwa ya uteuzi wa nafasi za juu ni kabila fulani tu! Hapa ndipo mzizi wa fitina ulipoanzia. Haiwezekani nchi yenye makabila 120 halafu asilimia 50 ya wateule wa juu watoke kabila moja tu, ni wazi tutakuwa tunatengeneza ukabila indirectly. Otherwise, sio jambo zuri kuhoji kwanini kabila fulani haliteiliwi, nchi ina makabila mengi sana hii, kila kabila likihoji tutaliharibu Taifa kikiwa bado changa. Hata hata hivyo ni lazima teule ziakisi utaifa na sio ukabila.
Soma Kwanza.Mhubiri gani? Huyo shoo anakufaeni nyie tu maana ndio itikadi yenu sawa 😏😏