Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

Sawa mwenye hoja,, tuseme maiti ni SHUJAA au vipi?!
Duh...nadhani una tatizo Fulani kubwa...huwezi kukejeli kifo...huwezi kufurahia kifo Cha mwenzio...unalo tatizo kubwa la kisaikolojia...wewe mwenyewe utakufa tu....kumbuka Hilo...acheni unafiki na chuki zisizo na msingi...Nchi hii ni ya wote...resources zilizopo ni za wote...kumbuka Hilo..
 
Una maneno mengi kama mwanamke alieachwa na mumewe . Pole mjane.
Hiyo maiti ya kirundi ilistahili wapewe washenzi wenzie Burundi huko. Kujificha kwake kwenye Usukuma hakumfanyi awe mtanzania na ndio sababu tumetofautiana sana kitabia na nyie warundi.
πŸ˜„πŸ˜ƒ
 
Wewe ni mtu wa kuhurumiwa mno...uelewa wako wa issues ni wa kiwango Cha chini mno...unazungumzia wanawake as if ni viumbe wa chini...duh...kumbuka Rais wako wa sasa ni mwanamke....JPM alikuwa Mrundi? Duh...
 
Ukweli mgumu ni kua kuwe na mpango au kusiwepo na mpango wowote ule kibaiolojia ,kitaalam kabisa UKIFA UMEKUFA HURUDI TENAA ,
Hapo unaona umesema cha maana? Nani hajui ukweli huo. Hapa tunazungumzia kile anakiacha mtu baada ya kifo chake. ..material and ideas. Wajinga kama wewe ndio wakifa wamekufa..hamna mtu anapigania ideas zao. πŸ˜‚
 
Aliwanyosha hadi mumejaa chuki. Sijui mnajiamini nini maana wimbi la kuwapinga dhulumati bado lipo.
 
Yaani kuna mijitu na ndugu zao yametemeshwa ulaji na mali za umma walizopora. Yanahorojoka ovyo. Hakuna rationality yoyote kwenye hoja zao ila hasira. Magufuli anaishi kwa taarifa. Bora warudi mapangoni maana nguvu ya umagufuli hata mama akitaka hawezi kupambana nayo.
 
Toa hoja chagadema wewe. Hapa hatufundishani uandishi ila ku ujumbe n
Wewe ndio takataka na huu ndio ukweli.
Hoja gani? Mnahangaika na Shujaa mwendazake? Hebu soma MHUBIRI 9:5..!!
 
Umetoa maelezo mazuri sana. Kuna hawa ndugu zetu wachg. Walijua ulaji na kuhonga siku nyingi. Walidominate sana positions. Kwa jinsi walivyojipambanua kumchukia magufuli na kumsingizia ukabila inasikikitisha sana. Umetoa hiyo point ya ukubwa wa kabila la wasukuma na jinsi ni watu wapole... Ndio maana hatujaona tatizo maana madai ya hawa waroho wabinafsi na roho mbaya ni uongo mtupu. Watu wote wamedharau tu.
 
Huyo mtu tulimsikia wote.....alihoji hivyo kuwa kabila lake hawateuliwi na kwamba eti wanaandamwa....very stupid indeed...yaani binafsi nilichukia Sana...Mimi siyo Msukuma lakini tukianza kuandama kabila moja ni issue...upo wakati kabila Fulani walijazana huko TRA, Bandari, Hazina na kwingine kwenye fedha na resources lakini hatujasikia kabila Hilo wanaitwa gang...
 
Magufuli ni SHETANI aliyekuwa kwenye mwili wa Binadamu. Mungu amefurusha kwa vile alikuwa anaharibu nchi yetu kwa kasi ya 5G
Utakua fisadi. Shukuru kaondoka hujaingia kumi na nane zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…