GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Kumekuwa na taarifa za kuwa na mpango wa Serekali wa kununua ndege kwa ajili ya kubeba mizigo, mbali na hizi zilizopo sokoni pamoja na kwamba nazo zina uwezo wa kubeba kiasi fulani cha mizigo pamoja na abiria. Ni wiki hii tu, Waziri wa usafirishaji amesikika akitamka hadharani kwa mara nyingine uwepo wa harakati za kutaka kuanza ununuzi wa ndege ya mizigo ili iweza kutoa huduma ya kusafirisha mizigo kwenda nje ya nchi.
Naamini wako wahusika watakaopewa jukumu la kufanya utafiti wa aina ya ndege itakayonunuliwa,... kwa kuwa nchi ni yetu sote haiwezi kuwa dhambi kwa wadau humu kushauri aina ya ndege inayofaa kuja kuwa kitendea kazi muhimu kwa taifa letu. Mimi ningependekeza aina tatu za ndege zifanyiwe upembuzi kabla ya kufanya manunuzi, nazo ni 1. Boeing 747-400 .... 2. MD 11... na 3. Airbus 300/..
Naomba kuwasilisha pamoja kiambatanisho hapa.

Attachments
-
Screenshot_2019-07-02 Boeing 747-400F Air Charter Service.png63.9 KB · Views: 20 -
Screenshot_2019-07-02 Boeing 747-400F Air Charter Service(2).png135.4 KB · Views: 14 -
Screenshot_2019-07-02 Boeing 747-400F Air Charter Service(1).png6.6 KB · Views: 16 -
Screenshot_2019-07-02 md11 aircraft - Google Search.png52 KB · Views: 18 -
Screenshot_2019-07-02 airbus a300-600 - Google Search.png4.5 KB · Views: 16