Mpango wa kuongea na Ibenge wapate sare umeanza, shame on you

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa.

Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo vinginevyo ngumi jiwe tu.

Mechi ni sare, believe me or not
 
Waongee pia na Mazembe amfunge MC Alger.

Ila kwa ilivyo Yanga ngumu kupita.
 
Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa.

Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo vinginevyo ngumi jiwe tu.

Mechi ni sare, believe me or not
Sare haiwezi mpeleka Yanga popote ,MC Algiers atatoa sare Bongo na atamtandika TP Mazembe ambae hana Cha kupambania
 
Ushabiki wa namna hii ni ushabiki wa kizamani na kishamba.

Timu ilyokufunga mara nne mfululizo unayejitapa upo kwenye 10 bora ya Rank za CAF kuna maajabu gani hadi kuhoji ushindi wake dhidi ya Timu ambayo wewe umeizidi ubora?
 
Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa.

Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo vinginevyo ngumi jiwe tu.

Mechi ni sare, believe me or not

Kila timu ishinde mechi zake
 
Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa.

Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo vinginevyo ngumi jiwe tu.

Mechi ni sare, believe me or not
Wewe labda utakuwa ni mchepuko wa Ibenge, yaani unajua mambo ya ndaniiiiiiiiiiii kabisa ya Ibenge mpaka simu anazopigiwa.
 
Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa.

Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo vinginevyo ngumi jiwe tu.

Mechi ni sare, believe me or not
Dunduka komaeni na mipango ya shirikisho kuliko kupoteza muda kujadili kombe la wanaume.
 
Back
Top Bottom