Mpango wa kuongea na Ibenge wapate sare umeanza, shame on you

Mpango wa kuongea na Ibenge wapate sare umeanza, shame on you

Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa.

Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo vinginevyo ngumi jiwe tu.

Mechi ni sare, believe me or not
Hivi ndio kusema hamuoni wachezaji wa kusajili pale Al Hilal. Hawa jamaa wanatoa wapi hela za kuendeshea timu ugenini huko Mauritania?
 
Hivi ndio kusema hamuoni wachezaji wa kusajili pale Al Hilal. Hawa jamaa wanatoa wapi hela za kuendeshea timu ugenini huko Mauritania?
Al Hilal sasahivi inamilikiwa na Mwarabu yupo Sudan hapo ana visima vya mafuta,... wana hela wale jamaa acha tu yule mchezaji wao Abdelrahmann analetewaga ofa mpaka ya Billion 1 Transfer fee ila wanazipiga chini.
 
Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa.

Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo vinginevyo ngumi jiwe tu.

Mechi ni sare, believe me or not
ujinga tu
 
Ushabiki wa namna hii ni ushabiki wa kizamani na kishamba.

Timu ilyokufunga mara nne mfululizo unayejitapa upo kwenye 10 bora ya Rank za CAF kuna maajabu gani hadi kuhoji ushindi wake dhidi ya Timu ambayo wewe umeizidi ubora?
Ushindi wa kununua wachezaji kisha baadae unawasajili hauna maana hata kidogo ndio maana mechi 4 pointi 4 hadi sasa ambako ndiko kuna uhalisia.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kama wanataka sare, si wavae jezi za crefisa, mbona zinafanana...
 
Back
Top Bottom