Mpango wa maandamano umekamilika. Tutatoa ratiba kamili tarehe 26

Mpango wa maandamano umekamilika. Tutatoa ratiba kamili tarehe 26

Keyboard warriors siku hiyo watakuwa bize vyumbani mwao wakisubiri picha na video za walioko barabarani. Na kwa sababu hakuna atakayeandamana wataanza kuwalaumu GenZ wa bongo.
 
Aiport kwanza ifungwe asitoke mtu nje ta nchi maana wataanza kukimbia hawaa
 
Keyboard warriors siku hiyo watakuwa bize vyumbani mwao wakisubiri picha na video za walioko barabarani. Na kwa sababu hakuna atakayeandamana wataanza kuwalaumu GenZ wa bongo.
Anza kujenga picha ya huyo mama yako siku hiyo itakavyo kuwa. Haya mengine yapo juu ya uwezo wa akili yako.
Jenga picha, wewe kama nguruwe unayefugwa na huyo unayemwita mama; siku hiyo hakutakuwepo na masalia ya chakula toka mezani kwake.
Picha hiyo ndiyo unayotakiwa kuwa nayo kichwani mwako.
 
Back
Top Bottom