Mhe. Waziri wa Mipango anatamba kuwa kutokana na mpango huu wananchi watawezeshwa na umaskini utaenda kupungua binafsi ninasema HAPANA.
Kama umeme ndio huu, bei ya mafuta ndiyo hiyo, bei ya pembejeo ndiyo hiyo, Viwanda havifanyi kazi kwa asilimia 100 na umaskini ndiyo unaongezeka huo msemo wa Waziri anaousema naona kama danganya toto.
Kila kitu sasa kiko stand still muwe mnawasilisha mipango ambayo ni realistic.