ngorokori
JF-Expert Member
- Sep 2, 2026
- 564
- 922
Binafsi nasikitika sana kuona Bado Kuna vifo na vurugu zinazoendelea baina ya WAKULIMA na WAFUGAJI.
Jambo linaloibua maswali mengi sana juu ya mpango mkakati wa SERIKALI dhidi ya KUTATUA changamoto hii ambayo ni hatari Kwa taifa kama hili. Taifa ambalo uchumi wake unakadiriwa Kwa takribani asilimia 70%-80% kuwa inategemea kilimo na ufugaji.
Je serikali Inampango gani juu ya KUTATUA changamoto hii?, na je itachukua muda kiasi gani changamoto hii kufanyiwa kazi?.
Au nyingi wadau wa jukwaa hili mnamaoni gani juu ya KUTATUA changamoto hii?.
Soma pia