Mpango wa Serikali kubana Matumizi (Austerity Measures) ulienda na Magufuli?

Mpango wa Serikali kubana Matumizi (Austerity Measures) ulienda na Magufuli?

Yule mzee tahira hakuwa na nia ya kubana matumizi, sema tu alikuwa na roho mbaya.
Kipindi cha Magufuli watu waliokuwa karibu yake akina Makonda, Musiba n.k waliogelea kwenye mabilioni na hakuna aliyeweza kuwahoji.
Moja ya jambo lililomeza pesa za nchi hii ni tumbua tumbua za Magufuli ingawa wajinga hawalijui hilo.
Kazini kwetu DBSS alisimamishwa kazi alikuwa nyumbani na nafasi yake kukaimu mtu mwingine lakini wote wawili ofisi ilikuwa ikiwalipa stahiki zao sawia .
Mitano ni mingi ila nyie yule mzee aliwaroga hamuwezi kuamka tena
 
Enzi Magufuli anaingia madarakani 2015 alikuja na mipango kabambe kubana matumiz ya Seikali ikiwamo;

1. Kupunguza Safari za nje ya nchi kwa Watumishi (Wakiwemo Viongozi na Maafisa Waandamizi - Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za Umma).
LEO HII: Ni mwendo wa kupanda Business Class tu hata Dar-Dodoma tu. Economy sahau
2. Serikali kutumia majengo/Taasisi zake kwenye ujenzi, mikutano na huduma nyinginezo.

3. Posho za Semina na mikutano,

4. Sherehe zisizo na tija,

5. Kufukuza (kutumbua) wala Rushwa na scandal papo kwa papo. Nakumbuka Waziri akizembea atastukia tu katumbuliwa hata kama yupo jukwaani - Mwigulu, kangi Lugola, Kigwangallah

6.

NB: Haya yote yamerudi kwa kasi ya Mwanga. Imekaaje wadau?
Serikali ya sasa ni dumbuzi outlet ni kubwa kuliko inlet
 
Yule mzee tahira hakuwa na nia ya kubana matumizi, sema tu alikuwa na roho mbaya.
Kipindi cha Magufuli watu waliokuwa karibu yake akina Makonda, Musiba n.k waliogelea kwenye mabilioni na hakuna aliyeweza kuwahoji.
Moja ya jambo lililomeza pesa za nchi hii ni tumbua tumbua za Magufuli ingawa wajinga hawalijui hilo.
Kazini kwetu DBSS alisimamishwa kazi alikuwa nyumbani na nafasi yake kukaimu mtu mwingine lakini wote wawili ofisi ilikuwa ikiwalipa stahiki zao sawia .
Mitano ni mingi ila nyie yule mzee aliwaroga hamuwezi kuamka tena
Hakika
 
Hii Serikali inamatumizi ya ovyo ndo maana Deni limekuwa sana na Kila waziri anakampuni ya mabasi ya kusafirisha abilia mikoan..
Samia kawekeza kwenye hisa za DP world,,bandari..utalii,,GSM na kampuni za mafuta..
Dada wa Tanga,,anakampuni kubwa za mabasi sbb fedha nyingi za Aftab kutoka USAID zakujenga hospital walizigawana na kusema hospital zinajengwa na serikali ila mfadhili akija wanasema ni pesa zao zimejenga.
Mwigulu..Biashara ya mabasi na kubet
So ni serikali Kila mmoja anashindana kuiba
 
Ebu niambie ni kipi ambacho kilifanywa na Magufuri ambacho hakijafanyika kwenye utawala wa huyu mama.
Unataka nifanye kurudia mada mbona vitu hivyo vimetajwa na mtoa mada
 
saliti tu huyo dogo.
na hiyo ingetotokea uchina angenyongwa na kupotezewa mazima

manafiki sana haya manyumbu na usaliti wao uliobubujikwa na kelele na unafiki wa wazungu.
Poleni sana, cha ajabu mlijaribu kumuua mkashindwa alafu lile ibilisi lenu ndio likapotezwa na system!! Muosha huoshwaa
 
Shamba la bibi,aka Kichaka.....

Wazalendo wanapambania posho watoto waweze kwenda haja.
 
2025 Land cruiser tunazo na tunatamba nazo
 
Back
Top Bottom