Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Serikali ya sasa ni dumbuzi outlet ni kubwa kuliko inletEnzi Magufuli anaingia madarakani 2015 alikuja na mipango kabambe kubana matumiz ya Seikali ikiwamo;
1. Kupunguza Safari za nje ya nchi kwa Watumishi (Wakiwemo Viongozi na Maafisa Waandamizi - Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za Umma).
LEO HII: Ni mwendo wa kupanda Business Class tu hata Dar-Dodoma tu. Economy sahau
2. Serikali kutumia majengo/Taasisi zake kwenye ujenzi, mikutano na huduma nyinginezo.
3. Posho za Semina na mikutano,
4. Sherehe zisizo na tija,
5. Kufukuza (kutumbua) wala Rushwa na scandal papo kwa papo. Nakumbuka Waziri akizembea atastukia tu katumbuliwa hata kama yupo jukwaani - Mwigulu, kangi Lugola, Kigwangallah
6.
NB: Haya yote yamerudi kwa kasi ya Mwanga. Imekaaje wadau?
HakikaYule mzee tahira hakuwa na nia ya kubana matumizi, sema tu alikuwa na roho mbaya.
Kipindi cha Magufuli watu waliokuwa karibu yake akina Makonda, Musiba n.k waliogelea kwenye mabilioni na hakuna aliyeweza kuwahoji.
Moja ya jambo lililomeza pesa za nchi hii ni tumbua tumbua za Magufuli ingawa wajinga hawalijui hilo.
Kazini kwetu DBSS alisimamishwa kazi alikuwa nyumbani na nafasi yake kukaimu mtu mwingine lakini wote wawili ofisi ilikuwa ikiwalipa stahiki zao sawia .
Mitano ni mingi ila nyie yule mzee aliwaroga hamuwezi kuamka tena
Bado ufisadi tupuLand cruiser 300 series za kutosha
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akusamehe kwa kuwa hujui ulisemalo unaleta kufuru!Nimemsema Mungu wako umeibuka kama Nyoka😁😆
Wewe mkewe? Mwanae? Amekutuma??Sasa unataka akuletee hoja gani zaidi ya hiyo ?
Alicho andika hapo ni hoja tosha kuwa magufuri alikuwa muigizaji.
Unataka nifanye kurudia mada mbona vitu hivyo vimetajwa na mtoa madaEbu niambie ni kipi ambacho kilifanywa na Magufuri ambacho hakijafanyika kwenye utawala wa huyu mama.
Poleni sana, cha ajabu mlijaribu kumuua mkashindwa alafu lile ibilisi lenu ndio likapotezwa na system!! Muosha huoshwaasaliti tu huyo dogo.
na hiyo ingetotokea uchina angenyongwa na kupotezewa mazima
manafiki sana haya manyumbu na usaliti wao uliobubujikwa na kelele na unafiki wa wazungu.