mpango wa serikali kuhusu waliopata pass ni upi?

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
Wakuu mpaka sasa hv naandika hapa sijajua hao wanafunzi 18000 walioachwa serikali ina mpango gani nao
Nakumbuka matokeo yalipotoka wengi walipongezwa sana na watu wakiwa na uhakika kwamba watoto na jamaa zao watapangwa na serikali
Matokeo ya mfumo wa mwaka huu yamechanganya akili kias kuwa wale waliokuwa wameona angalau wamejitahidi leo hii wanaonekana mitaani tu watu wengine wakiwacheka kuwa walidanganya kuwa wamefaulu huku ukweli unajulikana kuwa ni matokeo tu na mfumo ndo vimechanganya mambo ya BRN



Wale wenye credit angalau wameipata UDOM wenye pass hatujui wanafikiriwa vipi
Muda wa kuapply sidhani kama upo tena
Second selection sijajua watawachukua wangap kati ya hao 18000 na sijajua ni wenye pass ya kuanzia ngap watachukuliwa
na vyuo watachukuliwa wenye pass ya ngapi bado sijajua

Ndugu yangu mie amepata 1.4 pass amepata CIVICS-C,HISTORY-C,KISWAHILI-C,COMMERCE-C,ENGLISH-D,BIOS-D,GEOGRAPH-E,BK-E,MATH-F
kwa mchepuo hapoalofaulu ni HKL na sijafahamu mtu akipata E inabalance comb au la USHAUR PLS!!!!
 
Mkuu samahan ila kwa nnavojua n kwamba:-
Distinction-DIV I
Merit-DIV II
Credit-DIV III
Pass-DIV IV
Takwimu zinasema kwamba waliopata kuanzia Distinction mpaka Credit ni 74,000+ ambao waliochaguliwa 1st selection ni 55,000+ alaf hao wengine ndo wakaachwa;: Hivyo basi mkuu chance ya mtu aliyepata PASS kwenda A level ni serikal yenyewe ndo wanajua ila sio big chance mkuu
I stand to be corrected
 
Tunaomba serikali iwaangalie hawa jamani coz huku mtaani kuna mengi yanazungumzwa kipindi hiki cha uchaguzi isije ikawa bomu kwa chama tawala.
 

Aende advanc private...
 
Tunaomba serikali iwaangalie hawa jamani coz huku mtaani kuna mengi yanazungumzwa kipindi hiki cha uchaguzi isije ikawa bomu kwa chama tawala.

usitutishe na uzembe wako.Kama ulidharau kusoma kwa bidii wakati upo darasani inakuwaje kuja kuitishia serkali?
 

hii grading system yako haipo hauwezi convert gpa to division kienyeji kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…