Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 839
Wakuu mpaka sasa hv naandika hapa sijajua hao wanafunzi 18000 walioachwa serikali ina mpango gani nao
Nakumbuka matokeo yalipotoka wengi walipongezwa sana na watu wakiwa na uhakika kwamba watoto na jamaa zao watapangwa na serikali
Matokeo ya mfumo wa mwaka huu yamechanganya akili kias kuwa wale waliokuwa wameona angalau wamejitahidi leo hii wanaonekana mitaani tu watu wengine wakiwacheka kuwa walidanganya kuwa wamefaulu huku ukweli unajulikana kuwa ni matokeo tu na mfumo ndo vimechanganya mambo ya BRN
Wale wenye credit angalau wameipata UDOM wenye pass hatujui wanafikiriwa vipi
Muda wa kuapply sidhani kama upo tena
Second selection sijajua watawachukua wangap kati ya hao 18000 na sijajua ni wenye pass ya kuanzia ngap watachukuliwa
na vyuo watachukuliwa wenye pass ya ngapi bado sijajua
Ndugu yangu mie amepata 1.4 pass amepata CIVICS-C,HISTORY-C,KISWAHILI-C,COMMERCE-C,ENGLISH-D,BIOS-D,GEOGRAPH-E,BK-E,MATH-F
kwa mchepuo hapoalofaulu ni HKL na sijafahamu mtu akipata E inabalance comb au la USHAUR PLS!!!!