Mpango wa Serikali kuwainua vijana kiuchumi

Mpango wa Serikali kuwainua vijana kiuchumi

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kutatua changamoto ya ajira kwa watanzania alitoa ajira lakini pia kama tunavyojua serikali haiwezi kuajiri watanzania wote hivyo akasema ataweka mazingira wezeshi ya vijana kujiajiri

Ili kufanisha hilo Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Viwanda na biashara ametoa Kibali kwa wanaoanza biashara kutolipa kodi kwa Miezi 6 hadi Mwaka mmoja.

Hii ni hatua nzuri ya kuhakikisha Vijana wasiokua na ajira kujiajiri kupitia mwaka mmoja watawezakuimarika kiuchumi. lengo la Rais Samia Suluhu ni kuwainua vijana kiuchumi
 
Back
Top Bottom