Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Aunt:
1984 kabla ya mikataba na IMF kuingia ndo nilianza four one. Kutoka Mwanza kwenda Musoma shuleni ilinichukua zaidi ya wiki moja.
Meli, mabasi, treni zilikuwa hazifanyi kazi kwa ukosefu wa mafuta. Kama sikosehi waLibya walileta meli ya mafuta na serikali ilishindwa kulipa.
Hali ilikuwa mbaya sana kabla ya kuingia mikataba na WB na IMF. Nadhani Mzee Mtei anaweza kutoa somo hapo kwanini aliachia ngazi.
Tatizo linalokuja ni kuwa hatujaweka Priorities zetu right. Baada ya kuchukua mikopo migumu, kitu cha kwanza wabunge wakadai magari mapya hili waweze kutembelea majimbo yao vijijini. Wajumbe wa NEC nao wakadai magari ya nguvu.
Tuachene kulaumu IMF au WB, tuna matatizo ya akili sisi wenyewe.
Ukisoma makini post yangu, sikulaumu IMF au WB kwa matatizo yetu as longer as sisi wenyewe na viongozi wetu ndio tuliwaleta hapo bongo. Kinachoshangaza ni kuwa hiyo scenario ya Mwanza na Musoma sasa hivi ni the same kwa wakazi wa Kigoma - miaka zaidi ya 20 kuanzia sera za IMF zikubaliwe.
Shifting blame haisaidii yeyote zaidi tu ya kutotoa nafasi ya kupata suluhisho la matatizo yetu ambayo kwa zaidi tumeyachangia wenyewe na hiyo ccm tunayoichagua "kwa kishindo" kila mwaka.
