Mpango wa siri wa kujenga taifa la wajinga


Ukisoma makini post yangu, sikulaumu IMF au WB kwa matatizo yetu as longer as sisi wenyewe na viongozi wetu ndio tuliwaleta hapo bongo. Kinachoshangaza ni kuwa hiyo scenario ya Mwanza na Musoma sasa hivi ni the same kwa wakazi wa Kigoma - miaka zaidi ya 20 kuanzia sera za IMF zikubaliwe.

Shifting blame haisaidii yeyote zaidi tu ya kutotoa nafasi ya kupata suluhisho la matatizo yetu ambayo kwa zaidi tumeyachangia wenyewe na hiyo ccm tunayoichagua "kwa kishindo" kila mwaka.
 

Mimi sipo Tanzania kwa muda mrefu. Je kuna alternative gani? Kwa upande wangu sioni tofauti ya wanasiasa watanzania. Wawe wa CCM au Vyama vingine vya siasa.

Sijawahi kumsikia mwanasiasa anasema tukipata uongozi kitu cha kwanza ni kurudisha karo mashuleni.
 
Hebu tuanze na sisi wenyewe hapa JF.....what should we do......atleast......is it not possible kuji-organise na kusaidia kwa hali na mali?

Kuna mjumbe mmoja humu humu JF.....alitoa Scholarship ya US$ 1500 kwa mwanfunzi wa kike kutoka kijijini atakayefanikiwa kujiunga Chuo Kikuu ktk kozi ya Computer Science.....je mnaonaje hilo likawa changamoto kwetu JF?

.....Mkuu (anajijua) je ulishapata huyo mwanafunzi??
 


NMB Chief of Human Resource Solo Kabeho (L), handing over a dummy cheque for 6.5m/- to Nzega District Commissioner Betty Machangu, as the bank`s donation for the purchase of school desks. The handing over ceremony was held in Nzega, Tabora Region
 

Ogah ...

Watanzania walioko nje (mfano Marekani) wanatuma wastani wa dola 5000 nyumbani kwa ndugu zao kuwasaidia kielimu na kwenye matibabu ya afya. Huu ni mwanzo mzuri ukichukulia kuwa pesa hii inaingia moja kwa moja kwenye mzunguko na sio kuishia kwenye mifuko ya wachache huko serikalini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…