Tetesi: Mpango wakufanya vurugu kesi ya Lema

Tetesi: Mpango wakufanya vurugu kesi ya Lema

Video Munarekodi Wenyewe Alafu Munaleta Upuuzi Wenu Hapa
 
Utakua mmoja kati ya walioandaa hiyo video, au hizo harakati kama ni kweli.. Arusha hatukushindwa kufanya hizo vurugu siku zote.
 
Mbona umeshindwa hata kuweka clip mojawapo? Huu ni umbea, uzandiki, uchawi na upuuzi
 
Kama kuna hizo video hata Mimi nimefurahi sana . coz n harakati dhidi ya ukoloni
 
Zipo video zipo kwenye mitandao ya you tube zinashawishi wananchi kufanya fujo kwenye kesi ya lema ikiwa Lema hata achiliwa. Ktk video ile wamesikika msemaji akusema kwa kumanisha WATAFUNGULIA MBWA IKIWA LEMA HATOPATA DHAMANA. NAOMBA VYOMBO VYA USALAMA VIFUWATILIE KWA UKARBU SWALA HILI. Watanzania tunaimani na vyombo vyetu vya ulinzi who is Lema
Mnaonea watu eti Kwa Sababu kuna vyombo vya usalama.
Ole wenu nyie ngedere Siku zenu zinahesabika.
Nguvu ya umma haijawahi kushindwa na Dikteta yoyote.
 
5 days ago - MAWAKILI 18 CHADEMA KUMTETEA LEMA. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wapili ...
 
Hivi jamani huyu RC anayetajwa kwenye hii kesi si yeye naye aliwahi mtukana mwanasheria fulani kuwa ana degree ya pichu? Hivi hii kesi iliishaje?
 
Back
Top Bottom