Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kikosi kazi cha Utopolo bado kinaendelea kuhakikisha kuwa umoja unapungua ama kufa kabisa ili tuanze kucharurana na hatimaye mwezi Machi washushe maangamizi mengine kwetu, sasa hivi kikosi chao kinasubiri kujua nani amepangiwa kucheza na simba hatua ya robo ili wamalize shughuli kwa kushirikiana na wajinga wajinga waliopo ndani ya timu yetu ambao wakishapewa laki 5 tu na msomali wanauza mipango yote.
Kikosi kazi kimekubaliana na fungu washapewa kuwa Simba asifike fainali kombe la Loser, wafanye wafanyalo lazima hapa Taifa tusage meno, wameambiana kuwa athari kubwa endapo mnyama atafika fainali na endapo atabeba ubingwa itakuwa kubwa sana kwa utopoli kwani mnyama atapanda vibaya sana kwenye rank za FIFA.
Bora tuuane tuanze moja wote mwakani, mimi kazi ya kuwalisha tu mipango yao kama mnaona haina maana iacheni tuendelee kusaga meno.Siku si nyingi tutaanza kuparurana wenyewe kwa wenyewe.