SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kwani nyuzi za lawama kuibuka mimi inanihusu nini? Kwani wewe una nini cha kujivunia kwenye mashindano ya CAF miaka ya hivi karibuni? Mbona unarukaruka kama maharage ya Mbeya?Wewe kweli ni mkia umefurahia game wakati nyuzi zinaibuka za lawama kila sekunde acha kujipa tumaini hewa..
Wewe sema kwenye hilo kombe la shirikisho una kipi cha kujivunia kwa miaka hii ya karibuni ambacho unachojivunia labda kuchoma uwanja moto na bado robo ikawa mziki kutoboa..