Mpango wao Utopolo sio huo tu wameshajipanga kutuangamiza kombe la Shirikisho ili tufanane, msiseme sikuwaambia

Kwani nyuzi za lawama kuibuka mimi inanihusu nini? Kwani wewe una nini cha kujivunia kwenye mashindano ya CAF miaka ya hivi karibuni? Mbona unarukaruka kama maharage ya Mbeya?
 
Strong tea
 
Yanga ilimtimua Gamondi kwa sababu nyingi tofauti kabisa unazodai, kuzitaja nitakuwa namtajia mwehu sawa na bure, kwenda robo si kipimo tosha kuthibitisha ubora wa timu,ubora wa team unapimwa kwa timu kuchukua kombe la league huska. Kolowizards mnazingua.
 
SAJILI WACHEZAJI WA MAANA TOP PLAYER.
HATA KAMA HUWEZI SAJILI WACHEZAJI WA DARAJA LA KWANZA AFRICA (MAYELE, INONGA,
SAJILIBDARAJA LA PILI AKINA PAKOME,AZIZI, AUCHO,

SI KULETA WACHEZAJI DARAJA LA TATU NA NNE AKINA KARABOU CHAMOE, OKEJEPHA, MUKWALA, MUTALE NK
 
Makolo rekebisheni mnapoona mnakosea sio kushusha lawama kwa Yanga eti inawahujumu. Mbona wakati mnaongoza hizi lawama hazikuwepo kushuka kidogo tu mnawapaumu Yanga wanawafanyia hujuma.

Haki hizi ni akili mgando alizozisema Rage. Mbumbumbu unawaja wenzio umbumbumbu
 
Hizo kauli za hujuma mlikuwa mnazitoa nyie wenyewe.

Kwa hiyo timu ambazo hazijawahi kuchukua ubingwa wa kombe husika kwa mtazamo wako zote inabidi ziitwe mbovu siyo?
 
Hizo kauli za hujuma mlikuwa mnazitoa nyie wenyewe.

Kwa hiyo timu ambazo hazijawahi kuchukua ubingwa wa kombe husika kwa mtazamo wako zote inabidi ziitwe mbovu siyo?
kipimo cha mafanikio kwa timu ktk mashindano husika ni nini?
 
kipimo cha mafanikio kwa timu ktk mashindano husika ni nini?
Wewe umesema ubora pekee wa timu ni kuchukua kombe, kinyume cha hapo hiyo timu ni mbovu. Nataka kuthibitisha kuwa umemaanisha hivyo, siyo tena unaanza kuniuliza swali hilo hilo. Sipo hapa kubishana na wewe siku nzima.
 
Hawa nyuma mwiko wataacha kutuvuta nyuma siku wakiwa juu kwenye ranking za CAF .
Unajua Simba iko juu ndio maana haihangaiki na hawa wa chini.
Tabia za waswahili akiona unamzidi kila kitu anakuwa mwanga tu hivyo kila siku wanawaza kuangusha tu wengine wao hata wasipopanda hawajali

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ambao makolo hawataki kuukubali
 
AZAM VS SIMBILISI 😂 😂
MANGUNGU OUT🫵
 
Simba ni kama watoto wa mwisho. Siku zote wanalalamika kuonewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…