sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Elie Mpanzu aka Joshua Mutale toka kongo.
Huu ni usajili wa kisiasa na inawezekana asichezee kabisa Simba msimu huu.
Simba ni mabingwa wa kufanya sajili za kisiasa kutuliza joto la mashabiki.
Lakini pia Mpanzu hana quality ambayo wengi wanaamini anayo ni winga wa kizamani wa kucheza kwenye kibendera sio winga wa kuwafata mabeki na kupenya katikati yao bila kuogopa hana huo uwezo. Ni kama Mutale na Chasambi.