Mpanzu ni usajili wa kisiasa kuna uwezekano asicheze kabisa Simba

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Elie Mpanzu aka Joshua Mutale toka kongo.

Huu ni usajili wa kisiasa na inawezekana asichezee kabisa Simba msimu huu.

Simba ni mabingwa wa kufanya sajili za kisiasa kutuliza joto la mashabiki.

Lakini pia Mpanzu hana quality ambayo wengi wanaamini anayo ni winga wa kizamani wa kucheza kwenye kibendera sio winga wa kuwafata mabeki na kupenya katikati yao bila kuogopa hana huo uwezo. Ni kama Mutale na Chasambi.
 
Kwahiyo tukusaidiaje
 
Asante kwa taarifa
 
Ushanunua jogoo la krismas?
 
Kolozidad watabisha [emoji1787]
 
Naona Mpira unaingiliwa na mashoga
 
Umeanza lini kushabikia mpira?
Mbona wajidharirisha hivi!
 
Haraka ya nini bi mdogo? Kwanini usivute subira ili uje uandike kile kinachoendana na ulichokiona?
 
Uchawiiii huuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…