Naombei mwenye kujua tatizo hili la mpapai kuangusha matunda wakati wakuchanua aniambie nidawa gani nitumie ili mpapai uendelee na kutoa matunda maana saivi kila uwa likichanua tu linaanguka hii mbegu ni F1
Piga picha fully Hadi aridhini ,Ila kikubwa weka maji ya kutosha na mbolea ya samadi na pia weka NPK 5grm kwa kila mche kwa kila mwezi alafu Leta mrejesho