chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.
Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.
Tayari kuna maelfu ya wanachama wa TLS wanajiandaa kutoa tamko, na wataitisha waandishi wa habari kumpinga Mwambuzi