Mwabukusi hawezi kuitisha kikao cha TLS kwa ajili ya kila tukio ambalo TLS inatakiwa kulitolea tamko, ndio maana anaitwa Raisi wa TLS na hilo linampa mamlaka fulani ya kufanya mambo ya TLS ambayo ni routine ambayo hayaendi kinyume na Katiba ya TLS. Hajatoa tamko kubadilisha Katiba ya TLS.
Ni sawa na Raisi Samia, kuna mambo ambayo kama Raisi hawezi kuyatolea executive order, ni ya kikatiba, japo kuna wakati anakosea anaputa tu hata kama anavunja Katiba.
Kwa hiyo kabla hujamsema Mwabukusi, kamshauri Raisi Samia kwamba kuna mambo ya Kikatiba hapaswi kuyatolea maamuzi kama raisi katika utendaji wa kila siku