Tetesi: Mpasuko chama cha wanasheria Tanganyika, wakana kumtuma Mwabukusi kutoa matamko

Huo nao ni Uhuru,ndicho tunachotaka wananchi,sawa na vyama vya wafanyakazi vipo vingi pia na nguvu vinatofautiana,kama Wewe ni mmoja wapo kila la kheri

o
Kuna jasho langu TLS, sitoki kirahisi, tutaiteka ofisi ya TLS na kuweka uongozi wetu
 
Dua la kuku
kamwe siwezi kufanya maombi kwaajili ya mwingine asifanikiwe hata kidogo,

ila kiburi, majivuno, ukaidi na kiherehera cha mtu huashiria anguko lake kama ambavyo kwapamoja tunashuhudia a failed TLS mapema kabisa chini ya huyo muungwana :pulpTRAVOLTA:
 
Kwani Mwambukisi ndio msemaji wa TLS ?

Na je yeye kama yeye hana Kauli au ni wapi anaruhusiwa kutoa kauli yake kama yeye (au akitoa kauli kama yeye lazima TLS waipitie kwanza)?

Yaani akitaka kumpiga sound barmaid lazima aombe ruhusa ?

Tatizo hii nchi siasa zimekuwa nyingi sana...
TLS iliweka Baraza la uongozi ili kuzuia wahuni wanaoweza kujifanyia mambo yao hovyo hovyo kwa nembo ya TLS
 
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.

Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.

Tayari kuna maelfu ya wanachama wa TLS wanajiandaa kutoa tamko, na wataitisha waandishi wa habari kumpinga Mwambuzi

View: https://www.youtube.com/live/m9WGFYVzCvU?si=qKVjWaHGJPHyG-Ev

View: https://youtu.be/l2wWZpEGE6A?si=pYzKytaPopfBAHKL

View: https://www.youtube.com/live/m9WGFYVzCvU?si=qKVjWaHGJPHyG-Ev
 
Attachments

  • VID-20240820-WA0004.mp4
    33.7 MB
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.

Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.

Tayari kuna maelfu ya wanachama wa TLS wanajiandaa kutoa tamko, na wataitisha waandishi wa habari kumpinga Mwambuzi
Hawa ndio akina Nkuba?
 
Kwahiyo wewe ndiye msemaji wa TLS?
 
Famba wewe, rais huwa anatumwa?
 
Lazima ujue taarifa inapotolewa na TLS, hupitiwa na wajumbe wa Kamati kuu na kupitishwa. Sio kauli ya Mwabukusi.
 
Mwambukusi una maua yako, yaani hawa jamaa ni wa kuwabana vilivyo, hii nchi si wao tu wenye haki.
 
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.

Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.

Tayari kuna maelfu ya wanachama wa TLS wanajiandaa kutoa tamko, na wataitisha waandishi wa habari kumpinga Mwambuzi
Ha ha ha hao wanaotaka kutoa tamko si wanasheria wa TLS bali ni wanachama wa CCM.

Yaani taasisi ya TLS sasa imepata kiongozi shupavu.
 
Back
Top Bottom