Tetesi: Mpasuko chama cha wanasheria Tanganyika, wakana kumtuma Mwabukusi kutoa matamko

Mwakubusi ni rais, msimamo wake ndio msimamo wa chama. Unachojaribu kutuambia wewe ni kua serikali ya ccm imeshaona moto ni mkali na inataka kucheza faulo
 
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.

Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.

Tayari kuna maelfu ya wanachama wa TLS wanajiandaa kutoa tamko, na wataitisha waandishi wa habari kumpinga Mwambuzi
Kumekucha
 
Mnae kwa miaka 3....ndiyo kwanza hajamaliza hata miezi 2 mnaanza kujambajamba....kila kitu kinafanyiika kwa mujibu wa kanuni na wajibu wa TLS....kama huko nyumba mlipandikiza walamba viatu wa CCM, safari hii mtapelekewa moto mpaka muite maji 'mma'....si mnajifanya mna mabavu na dola lenu
 
Kwa kweli tunaye, atakula matukio mpaka ashangae
 
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.

Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.

Tayari kuna maelfu ya wanachama wa TLS wanajiandaa kutoa tamko, na wataitisha waandishi wa habari kumpinga Mwambuzi
HUYU NI CHAWA WA YULE ALIYETAKA KUKATA RUFAA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI TLS
 
Wanaompinga Mwabukusi Ni wale wanaotetea maovu. Kama wamasai kuhamishwa kwa nguvu, viongozi wa chadema kupigwa, wanaowatetea wanao lawiti na kubaka.
 
Tetesi ni tetesi tu.. Mwabukusi ni mtu wa sheria sana hawezi fanya kitu kama hiki.
 
Hapo anakaa na watu watatu ambao hawajulikani ni akina nani?
Hebu rudi kwa aliekutuma kwanza kutugombanisha
 
Watu wamevaa nguo za vitenge, hawajui hata attire, hao watakuwa viongozi wenzake wa vyama vta upinzani
 
Hiyo ndiyo TLS ,Unajua majukumu ya rais wa taasisi yeyote ukiacha ya nchi?
 
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.

Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.

Tayari kuna maelfu ya wanachama wa TLS wanajiandaa kutoa tamko, na wataitisha waandishi wa habari kumpinga Mwambuzi
Familia andiko lako limekaa ki yuvisisiemu bora ungebarikiwa hata akili mnemba ila shingo yako inaumia kwa ajili ya kichwa chako
 
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.

Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.

Tayari kuna maelfu ya wanachama wa TLS wanajiandaa kutoa tamko, na wataitisha waandishi wa habari kumpinga Mwambuzi
Ni jambo la kawaida watu kutofatiana mawazo siyo roboti hao.
 
Back
Top Bottom