Tetesi: Mpasuko chama cha wanasheria Tanganyika, wakana kumtuma Mwabukusi kutoa matamko

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Habari za chini chini kutoka TLS, ni kwamba wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS wanalalamika kwamba Mwabukusi anatoa matamko kwa niaba ya taasisi bila kuwahusisha, na kwamba hatua anazofuata Mwabukusi ni udikteta wa hali ya juu.

Mwabukusi kwa siku za karibuni amekuwa anakaa na genge lake la watu watatu, ambao hawajulikani akina nani, huku nyuma yake ameweka pazia/kitenge/kanga chenye nembo ya TLS.

Tayari kuna maelfu ya wanachama wa TLS wanajiandaa kutoa tamko, na wataitisha waandishi wa habari kumpinga Mwambuzi
 
Wewe ni wa taaluma gani? 😄
 
Unataga nanasi?
 
Mhu! This sounds an exaggeration. Doesn't it?
 
Madai yake ni ya kijinga!!?

Msiwe mnaspin bila logic!

Hoja zake zifanyiwe kazi!
 
Ninyi si ndiyo mkamuunga mkono RPC wa Dodoma kwa kauli yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…