Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Habari za uhakika kabisa kutoka kwenye source ya uhakika ndani ya club ya simba kuna mpasuko mkubwaa..
Mpasuko huo ni kati ya wachezaji wa kigeni na wachezaji wazawa,wachezaji wazawa wanadai hawapati treats wanazopata wachezaji wakigeni. Baadhi ya wachezaji hao inasemekana ni kichuya,mkude,mzamiru na mo
Pia kuna mpasuka wa uongozi kati ya wanaomtaka kocha uchebe aendelee kuwepo klabuni hapo na viongozi wengine wanataka kocha huyo atimuliwe.
Mpasuko wa mwisho ni kati ya mashabiki lia lia wa simba na kiongozi wao msema ovyo haji manara, mashabiki lia lia wanataka kiongozi huyo aache kufanya maisha yake awe mtumwa wa simba kwa kila kitu.
Tarehe moja February simba atacheza na timu kubwa kuliko zote bara la africa na asia...kwa mambo yanayoendelea nilitabiri simba atakufa 4 lakin naomba kubadili ubao wa matokeo hadi kufikia 7.Mungu ibariki africa Mungu ibariki Yanga
mtu chake
Joseverest
Shadeeya
Sakayo
Numbisa
100 Likes
Sent using Jamii Forums mobile app