21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
Simba imeoza kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha kwa hyo wewe ni team hamisa mkuu?Chelsea, FC Barcelona
Bongo bora ushabikie akina amberuty lakn sio hiz timu
hahaha mi team Pierre Mzee Wa liquid
Ni mambo yanayoendelea leo pale msimbazi....Mpira wa bongo wa kifara sana. Kuanzia mashabiki, wachezaji, viongozi hata viwanja, mipira, jezi, viatu navyo vina uduanzi wao ilimradi tu ni bongo.
Hata huu uzi ni waki waki sana. Mashudu matupu.
Uchebi ndio nani?
waache wakakutane na dhahama huko
Mungu ibariki africa Mungu ibariki Yanga
mtu chake
Joseverest
Shadeeya
Sakayo
Numbisa
100 Likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi kipana Kikosi cha bilioni, mshahara wa Niyonzima unalipa mishahara ya wachezaji YangaHabari za uhakika kabisa kutoka kwenye source ya uhakika ndani ya club ya simba kuna mpasuko mkubwaa..
Mpasuko huo ni kati ya wachezaji wa kigeni na wachezaji wazawa,wachezaji wazawa wanadai hawapati treats wanazopata wachezaji wakigeni. Baadhi ya wachezaji hao inasemekana ni kichuya,mkude,mzamiru na mo
Pia kuna mpasuka wa uongozi kati ya wanaomtaka kocha uchebe aendelee kuwepo klabuni hapo na viongozi wengine wanataka kocha huyo atimuliwe.
Mpasuko wa mwisho ni kati ya mashabiki lia lia wa simba na kiongozi wao msema ovyo haji manara, mashabiki lia lia wanataka kiongozi huyo aache kufanya maisha yake awe mtumwa wa simba kwa kila kitu.
Tarehe moja February simba atacheza na timu kubwa kuliko zote bara la africa na asia...kwa mambo yanayoendelea nilitabiri simba atakufa 4 lakin naomba kubadili ubao wa matokeo hadi kufikia 7.Mungu ibariki africa Mungu ibariki Yanga
mtu chake
Joseverest
Shadeeya
Sakayo
Numbisa
100 Likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mnazi wa Simba? Au fataani tu?Habari za uhakika kabisa kutoka kwenye source ya uhakika ndani ya club ya simba kuna mpasuko mkubwaa..
Mpasuko huo ni kati ya wachezaji wa kigeni na wachezaji wazawa,wachezaji wazawa wanadai hawapati treats wanazopata wachezaji wakigeni. Baadhi ya wachezaji hao inasemekana ni kichuya,mkude,mzamiru na mo
Pia kuna mpasuka wa uongozi kati ya wanaomtaka kocha uchebe aendelee kuwepo klabuni hapo na viongozi wengine wanataka kocha huyo atimuliwe.
Mpasuko wa mwisho ni kati ya mashabiki lia lia wa simba na kiongozi wao msema ovyo haji manara, mashabiki lia lia wanataka kiongozi huyo aache kufanya maisha yake awe mtumwa wa simba kwa kila kitu.
Tarehe moja February simba atacheza na timu kubwa kuliko zote bara la africa na asia...kwa mambo yanayoendelea nilitabiri simba atakufa 4 lakin naomba kubadili ubao wa matokeo hadi kufikia 7.Mungu ibariki africa Mungu ibariki Yanga
mtu chake
Joseverest
Shadeeya
Sakayo
Numbisa
100 Likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wadau wa mpira wa yanga na si mpira kwa ujumla au simba sports.
mkuu ni Likwiidihahaha mi team Pierre Mzee Wa liquid