Mpasuko mkubwa waikumba Simba SC

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Habari za uhakika kabisa kutoka kwenye source ya uhakika ndani ya club ya simba kuna mpasuko mkubwaa..

Mpasuko huo ni kati ya wachezaji wa kigeni na wachezaji wazawa,wachezaji wazawa wanadai hawapati treats wanazopata wachezaji wakigeni. Baadhi ya wachezaji hao inasemekana ni kichuya,mkude,mzamiru na mo

Pia kuna mpasuka wa uongozi kati ya wanaomtaka kocha uchebe aendelee kuwepo klabuni hapo na viongozi wengine wanataka kocha huyo atimuliwe.

Mpasuko wa mwisho ni kati ya mashabiki lia lia wa simba na kiongozi wao msema ovyo haji manara, mashabiki lia lia wanataka kiongozi huyo aache kufanya maisha yake awe mtumwa wa simba kwa kila kitu.

Tarehe moja February simba atacheza na timu kubwa kuliko zote bara la africa na asia...kwa mambo yanayoendelea nilitabiri simba atakufa 4 lakin naomba kubadili ubao wa matokeo hadi kufikia 7.Mungu ibariki africa Mungu ibariki Yanga

mtu chake
Joseverest
Shadeeya
Sakayo
Numbisa
100 Likes


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha du we jamaa, hata kama sizikubali hiz timu lakin baba umeua
 
Nimemfuatilia msemaji wa simba au mkuu wa idara ya habari ya team ya Simba Bw. Haji Manara wakati amefanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa taasisi yake na perfume ni Jambo jema na kujivunia kwa sisi watanzania kama mtu anatumia umaaruf na uwezo wake kusaidia jamii pia kufanya biashara ambayo itamuongezea kipato japo nimepata mshtuko kuona amekasirishwa kuona anasemwa Sana mashabiki hasa kule kwenye page yake ya instagram, sikutegemea Kama kwa mtu Kama yey kuonesha kukasirishwa na Hali hii nadhan anapaswa kutambua yey amekuwa mhamasishaj mkubwa wa team na amekuwa mstar wa mbele pale team inaposhinda na kuleta vijembe kwa team pinzan. Napenda kumjulisha Manara mashabiki sisi tunaumia Sana kwa namna team inaposhindwa kufanya vizur huku tukiona wazi Kuna sababu za wazi zinazopelekea team kufanya vibay na uongoz Kam mmekaa kimy bila kutolea ufafanuzi! Kwa maono yangu vifuatavyo ni baadhi ya sababu zinazosababisha team kukosa matokeo:-
1). Team kukosa kocha msaidizi, hili ni kubwa zaidi maana hat Kama kocha ana uwezo kiasi gan na CV kubwa vipi lazima team iwe na kocha msaidizi ambay atakuw anatoa ushaur na mawazo mbadala pale mpango wa kocha utakapofeli. ( Team inapaswa kuwa na mkurugenz wa ufundi)
2). Wachezaj kuridhika na kukosa umakini. Nadhan viongoz au benchia ufundi kiujumla halitimiz majukum yake ipasavyo Kuna wachezaj wameridhika, hawajitumi na Mara kadhaa wanafany makos yanayojirudia kila Mara huku wakiendelea kupangwa katika team kiasi mashabik tunashangaa inakuwaje je kocha anawalea vibaya au ndio wamerdhika na team, Simba ni team kubwa sana kuliko yoyot yule Kama mchezaj hajitumi ni bora kuachana nae.
3). Kutoaminiwa kwa baadhi ya wachezaj kwa mfano Yusuf mlipili kila mtu anamjia huyu beki kitasa msimu ulioisha alivyokuwa na umuhim katika ulinz pale ni mwepes kukaba pia anafany maamzi ya haraka kuliko pengine ya baadh ya mabeki wanaoanza katika kikos Cha kwanza ila naona kocha Kama hamuamini hi inapelekea team kuendelea kufany makosa yaleyale na kocha haoni shida kabisa
4). Kukosekana kwa kipaumbele kwa team maana mpaka sasa mashabiki hatuelew ni kombe gan hasa mna mpango wa kubeba msimu huu maana tumetoka kombe la Azam,mapinduzi tumeppteza fainal,sportpesa tumetoka, ligi kuu bado hapaeleweki na klabu bingwa afrika ndio hivyo tunapeana moyo tu ila bado tuna wakat mgum sana.
5). Wachezaj kushuka viwango kila siku mfano kichuya ,mzamiru,dilunga,bukaba,manula no hii pia ni tatizo kubwa linaikumba team yetu nadhan benchi la ufundi mmeshindwa kukabiliana na hii Hali Kama wachezaj wanashindw kucheza kwa juhud watafutien mbadal au wapeni maangaliz maalum ili wapandishe viwango au watimuen maana Simba ni kubwa kuliko wao wameshapita wachezaj wengi wakubwa na wenye majina wakaondoka Simba.

Nadhan Kama msemaj wa team hupaswi kukasirika ukisemwa ila unapswa upokee maoni ya mashabiki wako maana katika viongoz wa simba wew pekee ndio umejitokeza mstari wa mbele kuiongelea team Mara kwa mara hivyo hupaswi kukasirika ila unapaswa kupokea changamot na kuzifikisha kwa wahusika.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…