Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kweli mkuu mawasiliano ni kiungo muhimu sana, hata huyo jamaa atampiga chini tuNamtakia kila la kheri.
Kuwa na mwanamke ambaye mnaweza kukaa hata wiki hamjawasiliana ni kupoteza wakati [emoji1549][emoji3603][emoji1549][emoji3603]
ushauri wangu ni
1. akae mguu mmoja nje mmoja ndani..
2. atafute na assintance girlfriend..
akubali kua chini atakula adi vya uvunguni
Hahaha wewe umeacha kwa mda tu sioAsijishaue sana maana soon mwenye nyumba narudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpe ushauri mtu anaeanza mahusiano ya kimapenzi na Ex wako muda huu.
Nini afanye?
Tahadhari gani achukue
Kwa upande wangu namtahadharisha jamaa awe anaficha wallet yake mda wote.....
[emoji87] [emoji87]Awe makini na marinda yake
Hahaha jamaa alitaka kuku ambe rutty?Awe makini na marinda yake
Ahakikishe ana hogo la haja...lile janamke lina Kyuma kubwa amber rutty akasome[emoji125] [emoji125]
I hope huu ushauri sio kila anaetoka na ex utamfaa.
Inawezekana kwako au kwangu vimeshindikana na visa vilikuwa vingi simply tu kwa sababu chemistry yenu haikuwa kubwa atayekuwa nae wanaeza wakaendana na wasishindwane