nyungu ya mawe 16
Member
- Nov 25, 2018
- 6
- 4
Loh awe makini na simu ya ex wangu, mi nkiulizanga kwann anachat usiku anasema anacheza game LA nyoka wakat naskia msg zikiingia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe makini na marinda yake
HeeAhakikishe ana hogo la haja...lile janamke lina Kyuma kubwa amber rutty akasome[emoji125] [emoji125]
Vepe tena mrembo
Hamna kitu boss,😄😄Vepe tena mrembo
Unasoma chuo gani hapo Moro?[emoji39] [emoji39]Hamna kitu boss,[emoji1][emoji1]
😂😂khaa,wewe kiboko.Unasoma chuo gani hapo Moro?[emoji39] [emoji39]
Yaani ni wanamume tu ndo wametoa comments zao as wanawake hawana ma Expired ones wao[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata sijui kwann nmevutiwa tu ghafla na ww, kabda kwasabb mie mwana SUASO mwenzako[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]khaa,wewe kiboko.
Nilisoma SUA
Ahaa..chuomates..nimefurahi kupata mwanafamilia wa SUAHata sijui kwann nmevutiwa tu ghafla na ww, kabda kwasabb mie mwana SUASO mwenzako[emoji23] [emoji23]
Fungua sasa kule PM tuyajenge mkuu ebo!Ahaa..chuomates..nimefurahi kupata mwanafamilia wa SUA
Chuomate una maneno😂😂😂Fungua sasa kule PM tuyajenge mkuu ebo!
Chuomates waaje sasa hunikaribishi kwako japo ninywe tu maji[emoji23] [emoji23]
Karibu sana maji,soda au juice ukitaka pia zipoChuomate una maneno😂😂😂
Shukran chuomate!Karibu sana maji,soda au juice ukitaka pia zipo
Yalinusurika[emoji87] [emoji87]
Kwamba ya kwako yalitatuliwa au yalinusurika mkuu?
[emoji3][emoji3]Hahaha jamaa alitaka kuku ambe rutty?